Naombeni kuuliza: Ndugu yangu ana matatizo ya akili, kuna tofauti gani katika dawa hizi nilizopewa?

msela kuntu

Senior Member
Jun 28, 2019
116
183
Naombeni kuuliza kwa wale wenye uzoefu na professional ya Docta nina ndugu yangu ni mgonjwa wa akili na hii imetokana baada ya kujijua ana HIV usiku huwa anasumbua sana anawasha moto vitu na kuharibu hivyo tukaona tumtafutie dawa ya usingizi ili usiku tumchanganyie kwenye chakula usiku akila alale maana hata akifungiwa bila huwa anapiga sana kelele

kuna watu wamenipa maoni na majina ya dawa naomba kujua tofauti ya dawa nilizopewa na kazi yake

- benzodiazepini
- Barbiturates
- Tabs amityplyne 25mg od 10days
- pascaliam 1bd 10days
- Diazepam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom