Tatizo la damu kutoka mwenzi mzima

Zombi Mweusi

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
842
1,743
Habarini za asubuhi wakuu

Kuna dada kaja niomba msaada akitumaini naweza msave kutokana na mama kuwa mjuzi kwenye mambo ya uzazi wa kiasili nikaona itakuwa poa kama ntashare tatizo hilo tuweze msaidia niende kwa maada

Dada aliharibikiwa ujauzito wa wiki 40 kutokana pressure kupanda na kisukari cha mimba, baada ya kama wiki 1 damu ya hedhi ilikata kabisa na maisha yakaendelea poa sasa baada ya mwezi kuisha mzunguko wa hedhi umerudi na haujaisha takribani siku 31 ameenda hospital na kupewa dawa lakini inapungua kidogo na kurudi tena

Msaada wenu unahitajika
 
Atumie vidonge vya uzaz wa Mpango vile vyeupe tu kwa mwez mzima kama bado arud asafishwe.
 
Nitafute kwa namba 0767831345 nitampatia bidhaa za Stem cell therapy

Double Stem cell
Crystal cell

Tatizo kwisha kabisa , Hilo ni tatizo la hormone imbalance inasababishwa na damage kwenye mfumo wa seli za mwili

Asanteh

Sent from my Redmi Note 7 Pro using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom