Ni wapi naweza kupata matibabu kwa njia ya Ozone?

Mpauko

R.I.P
Jan 19, 2019
2,323
3,353
Habarini wanaJamii!

Samahani naomba kujulishwa inapopatikana tiba ya njia ya Ozone. Ozone ni oksijeni yenye O tatu.

Tiba hii inapatikana wapi kwa sasa, zamani ilikuwa inapatikana hospitali ya moyo ya THI kwa dokta Masau.

Natanguliza shukrani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom