Zijue faida ya mafuta ya karafuu

Zijue faida ya mafuta ya karafuu

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
Faida Ya Mafuta karafuu ni dawa kwa ajili ya kuchua misuli, wakati mwingine inatumika kama kiungo kwenye chakula na chai lakini pia karafuu ambayo hajasagwa inaweza kutumika kama dawa ya tumbo, meno, uji pia.

Inachangia kuleta harufu nzuri inapochangaywa kwenye chakula. Kwa hiyo nakushauri utumie Mafuta ya Karafuu kuchuwa mwili wako unapouma usitumie kwa njia ya kujipakaa kila siku. Ukitaka kutumia Mafuta kwa ajili ya kujipakaa tumia mafuta ya Zaituni au mafuta ya Uto au Mafuta ya nazi pia unapomaliza kuoga kila siku ni mazuri kiafya hayo mafuta na kwa ajili ya kulainisha ngozi yako iwe nyororo.
 
Yanapatikana wapi mafuta ya Karafuu? Mimi nayahitaji ila pharmacy nyingi hazina
 
Back
Top Bottom