Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Goodmorning wanaJF, I have a serious problem.Mimi ni kijana wa jinsia ya kiume. Nina viuvimbe katika chuchu zangu since nimebalehe hadi sasa nina umri miaka 26 lakini havijatoka kama wengine...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwanza poleni na mihangaiko ya kutafuta riziki lakini ndio maisha ya mwanadamu hapa duniani. Ndugu zangu kama nilivyosema hapo juu katika kichwa cha habari, nakuja kwenu kuomba ushauli wa tatizo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu,tatizo la kilimi/kimeo kimerefuka sana , wananiambia nikikate ,je hakuna tiba tofauti na kukikata? Naombeni msaada wenu wakuu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kichwa cha mada kinavyeleza, wadau naomba kujua ukwel kwa kina kuhusu huu uvumi kuwa energy drinks zinamalza nguvu za kiume au vinginevyo mana nimekuwa nikinywa karb kilasiku...
1 Reactions
8 Replies
10K Views
Wakuu poleni ma majukum kwa wale ambao tayari mnamajukum!! Nimekuwa nikijiuliza hili swali maana nakumbuka hapo zamani niliwahi kumuuliza mama huwa makamasi yanatoka wapi akaniambia huwa ni...
0 Reactions
30 Replies
10K Views
Msaada jamani hili ni tatizo gan kuvimba kinumdu ktk paji LA USO ni kama kimfupa kimetokeza msaada tafadhari au ni ugonjwa gani?
0 Reactions
11 Replies
16K Views
Midomo yangu imekubwa na miwasho na vipere vidogo vidogo, Naombeni dawa wakuu hii inatokana, na ile mambo ya kujizama kunako, maana hua sijali nazama ata robo saa, haijalishi kukoje, nasafisha...
2 Reactions
20 Replies
7K Views
Nimemuona rafiki yangu leo anaumwa gego la juu aisee kwa jinsi nilivyosimuliwa Ni hatari. Halali Wala hali vizuri hata kuongea anashindwa yaani mpaka kichwa kimevimba maumivu Ni ya mwili...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wana jamii Forums waslaam! nimekuwa na tatizo la macho ambapo hadi sasa ninalazimika kutumia miwani ili kuona mbali kwani baada ya kupima nilibaini jicho moja la kushoto kuwa na uoni hafifu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natumaini ni wazima wakuu na mnaendelea na majukumu ya kujenga taifa vyema, Niende moja kwa moja kwenye mada mwaka 2015 nilianza kuugua UTI nilijitahidi kujitibu kwa kila hali ila ilishindikana...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Nini husababisha harufu kwenye ushuzi? Na ni kwanini hata kwa same person unaweza ukakuta ushuzi wa juzi halafu yake ikawa ni tofauti na wa leo? Je, ni vyakula? Hali ya hewa au nini?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za saa hizi jamani, Poleni na janga la korona Guys naombeni msaada kwa kweli nilianza kutoka vipele vidogo kwenye mkono nilienda hospitali nikaambiwa ni allegy nikapewa dawa za kutumia...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza , kwa wiki kadhaa nimekuwa na tatizo la mwili kupata joto kali, naweza nikapata joto kwa siku nzima kesho hali ikarudi kama mwanzo halafu ikajirudia tena...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana jf, Tokea jana titi la kushoto kuna kama kakitu kagumu nikibonyeza panauma hatari, nlijua labda maziwa yamekua mengi nikanyonyesha mtoto sku nzima naona tu maumivu sana. Hadi sasa...
0 Reactions
1 Replies
836 Views
Asali inafahamika vema Duniani kote kama mojawapo ya silaha ya kiajabu katika kupigana na magonjwa na matatizo yatokanayo na uzee. Sasa hivi, utafiti mpya umeonyesha kwamba uwezo wa asali unaweza...
2 Reactions
5 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu. Samahani wataalamu wa afya na wengine wahusika wa jukwaa hili. Iko hivi. Karibuni hivi kuna tatizo limeanza kunipata. Mwili unaniuma kama vile nimefanya mazoezi mazito ambayo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana jf Doctor, Mimi nina umri wa miaka ....... nina nina mke mmoja watoto 3 na wajukuu 4. Tangu mwaka 2014 nimeanza kusumbuliwa na meno yakaanza kuuma, mpaka 2015 mwezi wa 8 tayari...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wakuu, Wiki mbili zilizopita nilifanyiwa operation iliyohusisha kutoboa matundu tumboni na kitovuni. Muda wa kutoa nyuzi ulipofika nilitolewa ila wakati nesi anatoa nyuzi za kitovuni moja...
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Kwanza nianze kwa kuwapongeza sana madaktari wa kina mama, wamekuwa msaada mkubwa sana kwa wanawake zetu. Kazi yao ni kubwa na tunaithamini. Pamoja na yote kumekuwa na shuhuda za uwepo wa baadhi...
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Habari wakuu. Kwa yeyote ambae anajua wapi naweza kupata endocrinologist mzuri, yani daktari aliebobea katika mambo ya glands na hormone, naomba anielekeze. Asanteni.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…