Cogito ergo_sum
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,648
- 2,930
Habari wakuu,tatizo la kilimi/kimeo kimerefuka sana , wananiambia nikikate ,je hakuna tiba tofauti na kukikata?
Naombeni msaada wenu wakuu
Naombeni msaada wenu wakuu
usidanganyike na hizo mila potofu nenda hospitali utakua una Uvulitis utapewa dawa kitakaa sawa!
In short nimewaona mtoto amekatwa hicho kimeo ali breed na alifikishwa hospitali yupo kwenye Shock madaktari walijitaidia kumfanyia resuscitation lakini mwisho wa siku alikata moto sababu damu ilokua inavuja iliingia kwenye mfumo wa hewa akapata aspiration pneumonia.