donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Nini husababisha harufu kwenye ushuzi? Na ni kwanini hata kwa same person unaweza ukakuta ushuzi wa juzi halafu yake ikawa ni tofauti na wa leo?
Je, ni vyakula? Hali ya hewa au nini?
Je, ni vyakula? Hali ya hewa au nini?