Uzi umekatikia ndani ya kitovu wakati nafanyiwa upasuaji. Je, kuna shida?

nyak's

Member
Oct 4, 2014
70
53
Habari wakuu,

Wiki mbili zilizopita nilifanyiwa operation iliyohusisha kutoboa matundu tumboni na kitovuni. Muda wa kutoa nyuzi ulipofika nilitolewa ila wakati nesi anatoa nyuzi za kitovuni moja ilikatika hivyo kuna kipande kimebaki ndani na hakionekani.

Kwa mujibu wa hospital wanasema haina shida ila mimi nina wasiwasi maana ule uzi ni plastic, utakaaje mwilini tena kitovuni bila shida?

Wakuu naomba mwenye uelewa zaidi anisaidie, ni kweli haina shida?
 
Back
Top Bottom