Nimetokewa na vipele kwenye mdomo

Nimetokewa na vipele kwenye mdomo

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,392
Reaction score
1,419
Midomo yangu imekubwa na miwasho na vipere vidogo vidogo,

Naombeni dawa wakuu hii inatokana, na ile mambo ya kujizama kunako, maana hua sijali nazama ata robo saa, haijalishi kukoje, nasafisha bwawa nahisi huu ugonjwa umetoka uko.

Naombeni dawa maana la sivyo ntakufa, kozi hii tabia kuacha siwezi
 
Kunywa gongo lita moja
 
Vipele vya homa/ Kisonono/ au chiku huyoooo!
 
We kama unakufa kufa banaa...sisi hatujakutuma kunyonya matundu ya kuzimu ebooh!
 
Midomo yangu imekubwa na miwasho na vipere vidogo vidogo,

Naombeni dawa wakuu hii inatokana, na ile mambo ya kujizama kunako, maana hua sijali nazama ata robo saa, haijalishi kukoje, nasafisha bwawa nahisi huu ugonjwa umetoka uko.

Naombeni dawa maana la sivyo ntakufa, kozi hii tabia kuacha siwezi
Mwenzio nimeachika kisa siwezi kulamba hayo mavitu, pisi yangu kali inapendwa kulambwa sasa kampata mwamba anazama sana chumvini kanikimbia mazima...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom