wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,973
- 27,209
Wakuu poleni ma majukum kwa wale ambao tayari mnamajukum!!
Nimekuwa nikijiuliza hili swali maana nakumbuka hapo zamani niliwahi kumuuliza mama huwa makamasi yanatoka wapi akaniambia huwa ni uchafu unatoka kwenye ubongo sasa mimi nikajiuliza kama ni kweli kuna wakati unakuwa nayo kwa muda hata wa mwezi mzima sasa huo ubongo si utayeyuka.
Kama ni kweli yanatoka kwenye ubongo! Sorry kwa uzi huu najua wapo niliowakaza!!naomba kujuzwa hua yanatokana na nini au yanatoka wapi!