Msaada: Viuvimbe kwenye chuchu kwa mwanaume

Davooo

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
506
774
Goodmorning wanaJF,

I have a serious problem.Mimi ni kijana wa jinsia ya kiume. Nina viuvimbe katika chuchu zangu since nimebalehe hadi sasa nina umri miaka 26 lakini havijatoka kama wengine. Nikiviminya viuvimbe hivi vinasinyaa.

Wakati ninasoma form 3 nilijihusisha sana na masturbation(punyeto), sasa sijui ndio chanzo ama vipi.

Naomba wataalamu wanisaidie(maelezo kama hayaeleweki nipo tayari kuulizwa na kukoselewa kwa jinsi inavyofaa).

Asanteni.
 
siyo wote wanakua navyo viuvimbe ndani ya chuchu na wala hilo siyo tatzo kabisaa
 
Viache usivibonyeze. Vitaisha tar-tibuuu. Uwe na subra
 
Hizi puffy nipples hata mimi ninazo wanadai ni gynecomastia, unakosa hata confidence kuvua shati mbele ya raia unaweza kuona kama matiti fulani hivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom