WANAWAKE WENGI WASIOPATA UJAUZITO WANAKOSEA HAPA
WANAWAKE WENGI WANAKOSEA HAPA
Unajua siku zako za hatari au bado unakisia tu? 🤔
👉🏾 Ukweli ni huu: Bila kujua mzunguko wako vizuri unaweza...
NAMNA YA KUKOKOTOA SIKU YA KUPATA UJAUZITO NA MZUNGUKO WA HEDHI KWA URAHISI | HOW TO CAN YOU KNOW YOUR MENSTRUAL CIRCLE AND A DAY TO CONCEIVE?
Inaletwa kwenu na Kelvin Nyagawa
Kupitia somo hili...
heri ya mwaka mpya wajumbe.
nipo mbele yenu nikiwa ni kijana wa miaka 34.
kuna matibabu nilikuwa nafanyiwa kuanzia 2019 hadi 2022 ambayo yalihusisha chermotherapy, radiotherapy na BMT baada ya...
Habari wana jamii forum naomba kupewa mawazo juu hali nilonayo moyo huwa unaniruka na baadhi ya muda kushtuka ata km hakuna kitu cha kushtuka hii inatokana na nini?ahsanteni
Habar wakuu hapa nilmejichunguza nlikua nimebana pua Huku nimeunabana mdomo kama mtu anaetaka kujichokonoa pia,,Sasa sehemu inapanzia lipis ya juu ya mdomo Hadi kufikia pua nyama Lote la mdomo...
Moja ya sababu inayoleta matatizo ya kuzaa pale umri unapokua mkubwa ni kupevushwa yai mara chache kuliko kawaida.
Kadiri wanawake wanapoendelea kukua mizunguko yao ya hedhi inaanza kubadilika na...
Siku za karibuni, wanawake wengi wamekuwa wakiota ndevu na wengi hawajui cha kufanya.
Katika mjadala huu, tunaangalia CHANZO cha tatizo hili, dalili zake (kama zipo), tutajadili pia tiba za asili...
Chango la uzazi ni tatizo kubwa linaloshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke. Tatizo hili humsababishia maumivu makali ya tumbo, kushindwa kubeba ujauzito, au mimba kuharibika mara kwa mara muda...
Naenda moja kwa moja kwenye lengo kuu.
Ndugu yenu BICHWA KOMWE muda wote nina hofu sana na kunuka mdomo.
Licha ya usafi mkali ninaopiga mpaka koromeo linaomba poo, lakini niko makini vibaya na...
Habari wapendwa wanaJF wenzangu nawatakia heri ya sikuu kuu na mwaka mpya kwenu nyote kwa upendo na mshikamano baina yetu, kila la kweri nyote. Tusisahau kutunza afya zetu kwani ndio utajiri namba...
Hodi, habari wanajamvi!!
Naomba msaada juu ya hili! Rafiki yangu ana tatizo la kutoka majimaji (yaani sio jasho la kawaida)mikononi na miguuni tu!
Kiasi kwamba hata akilala anatumia feni (Note...
Wakuu mimi nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu. Nimejaribu kutumia dawa nyingi sana za kienyeji pamoja na vyakula bila ya mafanikio.
NImejaribu kutumia vumbi la congo pia...
Msaada namna ya kufuta kovu ambalo si la muda mrefu.Ndugu yangu kaunguzwa na toyo ilimlalia mguuni.Sasa amebaki na kovu,tunaomba msaada maelekezo ya dawa kwa anayejua tafadhari.
Asante.
Wadau kwema!
Naomba kujua kuhusu bima ya Afya ya NSSF kwa wanachama wake.Iko vipi sababu amekuja Inspection officer wao ofisini ametushawishi tujiunge kwani ni kama bure sababu hakuna gharama...
Je wajua sababu kuu zinazochangia magonjwa ya moyo?
Asilimia 12%ya vifo nchini vimetokana na magonjwa ya moyo ikiwa ni idadi kubwa sana nchini ya vifo kila mwaka .Hivyo watu wengi wamekuwa...
Wakuu habar mke wangu usiku wasaa kumi kaamka imemtokea Hali yakutoka maji maji ya njano hivi ukeni bila kujua anaona nguo ya ndani imelowa tu,hii itakua anashida Gani hasa