Amepata changamoto ambayo si ya kawaida, miezi miwili mfululizo hajaona hedhi, amepima mara kadhaa ujauzito hana! Lakini period HAKUNA, kwa wajuzi wa Mambo, atumie dawa gani?
Alienda hospital...
Habari za muda huu poleni na majukumu,
Mimi ni mjamzito miezi 3 napata maumivu kwenye makalio yanashuka Hadi kwenye muunganiko wa makalio na mapaja kwa nyuma yani ni kama maumivu yanatokea...
Kiukweli binadamu ni wabishi sana.
Yaani mtu ameathirika na VVU, akashauriwa kuanza kumeza dawa akakubali. Baada ya kumeza kwa muda akaacha. Sasa leo anatafutwa tujue tatizo nini ili kulinda afya...
Habari wanajf nipende kuwakaribisha katika uzi huu unaohusu afya hasa wakati wa uzeeni
1)Shida ya kutoona vizuri
Baada ya miaka 40 Watu wengi hupata ya kuona vizuri vitu vilivyo karibu na...
Kwema wandugu,,,,,naomba kuuliza kitu hivi kuna tatizo au shida gan mtoto(kiume) wa miezi miwili akiwa anapata haja kubwa mara kwa mara.
Msaada wa mawazo please.
Sent from my SM-A260F using...
Kupungua nguvu za kiume
Uhusiano wa matatizo ya nguvu za kiume na presha ya kupanda ni mkubwa sana. Kwa nini kuna uhusiano mkubwa? Presha ya kupanda husababisha damu ndogo sana kutiririka ndani...
Mtoto wa sister angu anaumri WA miezi 8 anakohoa na kupiga chafya Kwa vipind tofauti tumeenda pharmacy wametupa dawa hio inaitwa Dr cold ya maji wameendika vipimo tumpe mil 5 Kwa siku 5 kutwa mara...
Wadau na Wakuu heshima yenu,
Naomba Kuuliza maswali ya Mtu nisielewa Kuhusu Afya na Kirusi,
Naomba Msinicheke...
Nahitaji Elimu wandugu.
Naomba Kuuliza kwa wataalam:
Hivi Kama Mtu hajachanjwa...
Wakuu,
Habari ya kazi. Nilikuwa Bugando kwa ajili ya kufanyiwa kipimo kinachoitwa endoscopy. Matokeo yalikuwa kama ifuatavyo
Esophagus MILD DISTAL OESOPHAGISI 2/HIATAL HERNIA
Stomach -...
Habari za mida hii ndugu jamaa na marafiki, kama kichwa ha habari hapo juu kinavyojieleza, naomba kufahamishwa dawa ya sikio kwa yeyote anayefahamu.
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya sikio kwa...
Salaam kwenu wanajukwaa.
Nimekuwa nikipatwa na tatizo la kujirudia rudia kusikia kama muungurumo wa mashine kwa mbali masikioni mwangu hasa hasa nikiwa eneo tulivu na peke yangu haijalishi...
Juzi(Jumapili) nilihisi maumivu kwenye korodani ya kushoto, nikayachukulia poa maana sometimes korodani zinaumaga na kuacha zenyewe.
Sasa toka Jana Hadi leo yaani korodani moja ya kushoto inauma...
Wakuu samahani kwa usumbufu nitaofanya au ambao utatokea
Kwa muda wa karibia miezi mitano nimekua nasumbuliwa Na maumivu ya nyonga na nilipoenda hospitali nilikosa msaada
Sasa nifanyaje ili...
Mtu akiumwa malaria anapoteza hamu ya kula kila chakula hakipandi hasa vya mafuta mafuta.Kwa mfano ninameza alu/mseto na natakiwa Nile Sana nishibe.
Je, unapendekeza nile Nini ili nisitapike dawa...
Acha uchafu. Watu sehemu za bata hawanawi mikono kila watokapo maliwato. Anakuja mezani anataka mgonge mikono ukiongea point.
Mi ntakwambia gonga meza. Mazafantaz. Enjoy your sunday.
Kwa wanaojua naomba msaada kwa nini mtoto akizaluwa na miezi 8 yani wiki 32 anakufa wakati aliezaliwa miezi 7 anaishi vizuri tu. Ni kwanini wandugu mnao jua nijuzeni na mimi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.