Nenda kwa Wahindi pale Mawenzi Rd Moshi karibu na NMB ulizia utapata hitaji la moyo wakoHabari za jioni wandugu natafuta mwenye kujua dawa ya kutibu figo. Msaada wa haraka tafadhali. FIGO ZINASUMBUA SANA
Mkuu Nitafute mimi kwa wakati wa ili nipate kukutibia amradhi yako ya figo uguwa pole Mkuu.Habari za jioni wandugu natafuta mwenye kujua dawa ya kutibu figo. Msaada wa haraka tafadhali. FIGO ZINASUMBUA SANA
Kama una tiba mbadala ITAPENDEZA ukaieleza humu Jukwaani siyo tu iwasaidie wengi pia ipate nguvu ya kitaalamu. Wanaopitia JF ni watu wa aina mbalimbali ambao wanaweza kukusaidia kupata "hati miliki"Mkuu Nitafute mimi kwa wakati wa ili nipate kukutibia amradhi yako ya figo uguwa pole Mkuu.
HAYA MKUU NIMEKUWEKEA DAWA HAPO JITIBIE NA WEWE .Kama una tiba mbadala ITAPENDEZA ukaieleza humu Jukwaani siyo tu iwasaidie wengi pia ipate nguvu ya kitaalamu. Wanaopitia JF ni watu wa aina mbalimbali ambao wanaweza kukusaidia kupata "hati miliki"
Mkuu kama huna jibu la kujibu bora unyamaze hayaja kukuta yakija kukuta maradhi utakuja hapa kutueleza na sisi tutakujibu pambana na hali yako je utafurahi? sio jibu zuri kwa mwenzako hilo jibu ulilo li ibu ni jibu la kifdhuli. Hujafa hujaumbika mkuu.Wakati unaziharibu hukuomba ushauri pambana na haliyako
Nawaza kuwa aingie online aagize hizi Super Greens Gummies.... Zitamsaidia.Ifuatayo ni dawa mbadala ili ifanye kazi vizuri zingatia yafuatayo:
Asubuhi Kula Matunda Tu:
Unatakiwa kula matunda tu kuanzia asubuhi unapoamka hadi saa 6 mchana. Huruhusiwi kula kitu kingine chochote zaidi ya haya matunda tu, hivo huruhusiwi kunywa chai, kahawa, maandazi, mikate, chapati na vyakula vingine vyovyote.
Mchana na Jioni kula Kachumbari:
Tengeneza kachumbari ya kutosha, unaweza kuweka nyanya, kitunguu, tango, karoti, pilipili hoho, kabeji, na vinginevyo unavyo vipenda. Unatakiwa kula kachumbari hii hadi ushibe kabisa, ikiwa njaa itawahi sana kukuuma baada kula kachumbari yako basi unaweza kula chakula kingine ulichokizoea.
Mahitaji:
(i.) Unga wa ubuyu 1kg
(ii.)Unga wa manjano 1kg
(iii.) Asali mbichi.
Matayarisho na matumizi yake:
Changanya ubuyu na manjano upate mchanganyiko wa pamoja kisha chukua vijiko viwili vikubwa vya mchanganyiko huo weka kwenye maji ya vuguvugu nusu lita koroga vizuri kisha weka asali vijiko vikubwa viwili, koroga tena vizuri ndio unywe juisi hiyo yote asubuhi kabla ya kula kitu na jioni kabla ya kula chakula
NB: Wakati unaendelea na tiba hii hurusiwi kutumia dawa za kutuliza maumivu, dawa za presha, sukari au ARVs. Fuata utaratibu huu kwa miezi sita mfululizo utakuwa umepona kabisa. Pia huruhusiwi kabisa kula vitu vifuatavyo:
i. Vyakula ambavyo hujapika wewe au mtu unayemuamini mfano usile kwa mama ntilie, migahawani, hotel na sehemu nyinginezo kama hizo.
ii. Usile vyakula kutoka kiwandani kama soda, juice, bia, mikate, maandazi, chapati, biscuit, na vingine vingi vinavyotenenzwa viwandani.
iii. Usile vyakula vyote vitokanavyo na wanyama au maziwa
iv. Usitumie dawa za kutuliza maumivu, dawa za presha, au sukari
v. Usile chakula baada ya saa 2 usiku.
vi. Usile virutubisho
vii. Usitumie sukari au glucose
Uwe na nidhamu tu ya kufuatisha huo utaratibu kwa makini.
Sawa tutunze afya ,tupime marakwamara afya zetu ,tufanye tizz sanaMkuu kama huna jibu la kujibu bora unyamaze hayaja kukuta yakija kukuta maradhi utakuja hapa kutueleza na sisi tutakujibu pambana na hali yako je utafurahi? sio jibu zuri kwa mwenzako hilo jibu ulilo li ibu ni jibu la kifdhuli. Hujafa hujaumbika mkuu.