Kazi yake ni nini?

Kazi yake ni nini?

karv

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
1,801
Reaction score
3,272
Habari za wakatii huu

Naomba kujua umuhimu wa hiyo kitu pichani inakazi gani au ina faida gani kwa wachezaji

Ahsante
FB_IMG_16403470723118279.jpg
 
Baadhi huwa wamevunjika mifupa inayojenga uso (facial bones) kama mfupa wa pua na mengineyo. Wanatumia hizo ili kuwakinga wasiumie zaidi.
 
Back
Top Bottom