Naomba kujuzwa dawa ya sikio

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,072
1,697
Habari za mida hii ndugu jamaa na marafiki, kama kichwa ha habari hapo juu kinavyojieleza, naomba kufahamishwa dawa ya sikio kwa yeyote anayefahamu.

Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya sikio kwa muda mrefu kidogo. kwahiyo yeyote anayefahamu tiba ya ugonjwa huu naomba anijuze.

Asanteni

Nawasilisha
 
Kama Umeshatumia madawa ya Hospital kama Boric acid...Candibiotic ear drop na Ikashindikana Bhasi Hili ndo suluhisho lako... Mchuzi wa majani ya bhangi

Hayo majani ni mabichi au makavu, na anachukua kiasi gani cha majani na kiasi gani cha maji kutengeneza huo mchuzi??, baada ya hapo huo mchuzi anakunywa au anaufanyaje???!!.

Wekeni mambo wazi.
 
Hayo majani ni mabichi au makavu, na anachukua kiasi gani cha majani na kiasi gani cha maji kutengeneza huo mchuzi??, baada ya hapo huo mchuzi anakunywa au anaufanyaje???!!.

Wekeni mambo wazi.
Tafuta majani Mabichi ya Bhangi sio mengi sana kiasia... Anza kuyatwanga aua kufikicha mpaka upate ule mchuzi wake alafu Weka kwenye sikio lenye shidaa...!! Fanya hata mara 3 japo mara nyingi ukifanya mara 1 tu unakuta unakua poa
 
Majani ya bangi asage ile juis unadondoshea

Katika dawa vipimo ni muhimu sana ili kusiwe na madhara (diverse effect) au iwe mujarabu (efficacious).

Hicho tu ndicho Wazungu wametushinda sisi waafrika.
 
Chukua majan ya bangi saga alafu chukua kitambaa kidogo km leso kisafi yaweke alfu kunja iwe km nundu chovya kwenye maji kidogo ile nundu ifyonze maji iache dkk 5 hv maji yajichanganye na bangi then kamulia sikion ndan matone kadhaa tulia iingie mara 3 au 4 kwa ck ndn ya ck kadhaa
 
Habar za mida hii ndugu jamaa na marafiki, kama kichwa ha habar hapo juu kinayojieleza naomba kufahamishwa dawa ya sikio kwa yeyote anayefaham......nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya sikio kwa muda mredu kidogo....kwaiyo yeyote anayefaham tiba ya ugonjwa huu naomba anijuze....asanten ....nawasilisha

2F50347C-671F-46BF-AF20-26558C0A3343.jpeg

Nicheck inbox nikuelekeze pa kuipata
 
Habar za mida hii ndugu jamaa na marafiki, kama kichwa ha habar hapo juu kinayojieleza naomba kufahamishwa dawa ya sikio kwa yeyote anayefaham......nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya sikio kwa muda mredu kidogo....kwaiyo yeyote anayefaham tiba ya ugonjwa huu naomba anijuze....asanten ....nawasilisha
Wakati wa kulala weka kipande cha kitunguu maji sikioni. Kina uwezo wa kunyonya uchafu na bakteria zilizo ndani ya sikio.

NB: Kulala chumbani na vipande vya kitunguu maji (kwenye kisahani) husaidia kuondoa bakteria zinaozoelea chumbani. Pia kina dawa ya kupambana na uvimbe kwa ufanisi wa kutuliza sikio lililoambukizwa, na kuruhusu mwili kupona bila ya "inflamation" na shinikizo la kusababisha maumivu.
 
Nimegundua kitu; kwamba Bangi imeumbwa na Mungu kama dawa na sio kwa ajili ya uvutaji na ndio maana watu wengi huwa machizi kwa kutumia bangi kinyume na MAUMBILE, Mungu ni mwema na anastahili shukrani.
 
Na mimi naomba msaada wa kuzibua sikio lililoziba, kwani ninapotumia cotton buds kusafisha sikio badala yake huzidisha kuziba, hali hii hunitokea mara.nyingi.

Nataka kujua njia rahisi ya kusafisha sikio.
 
Soma ushauri wangu hapo juu
 
Wakati wa kulala weka kipande cha kitunguu maji sikioni. Kina uwezo wa kunyonya uchafu na bakteria zilizo ndani ya sikio.

NB: kulala chumbani na vipande vya kitunguu maji (kwenye kisahani) husaidia kuondoa bakteria zinaozoelea chumbani
Je sikio linalopiga kelele muda wote? Miluz
 
Wakati wa kulala weka kipande cha kitunguu maji sikioni. Kina uwezo wa kunyonya uchafu na bakteria zilizo ndani ya sikio.

NB: kulala chumbani na vipande vya kitunguu maji (kwenye kisahani) husaidia kuondoa bakteria zinaozoelea chumbani
Nashkuru kaka kwa ushaur wako nadhan kitunguu maji ni rahis kukipata kuliko bange kwa mazingira ninayoishi kwaiyo wote mawazo yenu nitayafanyia kazi
 
Wakati mwingine tafsiri hizi ni shida sana, hivi mnajua maana ya masikio matatu yakiziba zibua vizuri sikio la chini na baada ya hapo yale mawili ya juu yatasikia??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom