Ukiugua malaria ukapoteza appetite chakula gani kinafaa

Ukiugua malaria ukapoteza appetite chakula gani kinafaa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,065
Reaction score
61,398
Mtu akiumwa malaria anapoteza hamu ya kula kila chakula hakipandi hasa vya mafuta mafuta.Kwa mfano ninameza alu/mseto na natakiwa Nile Sana nishibe.

Je, unapendekeza nile Nini ili nisitapike dawa nimejaribu muhindi wa kuchoma na ndizi za kuiva ndo kinachopanda.chipsi siwez kabisa nikiziona tu najisikia kutapika.kuna mwingine kaniambia kabla sijalala nisikose mirinda nyeusi na biscuit.

Je, hivyo ni vyakula sahihi kwa mgonjwa natanguliza shukrani.
 
Supu yenye ndimu

Matunda kwa wingi hasa machungwa ni kiboko tengenezewa juice kabisa
Ushauri mzuri kabisa, ukipata mfano supu ya kuku wa kienyeji ukaweka ndimu na pili pili kwa mbali.....unaweza ukaweka na ndizi ya kuchemsha au viazi mviringo vya kuchemsha mbona mambo yanaenda
 
Ugali laini kwa mlenda super kabisa!

Au mboga ya mchunga wa nazi!
 
Back
Top Bottom