Wanaume msaada wenu tafadhali

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Aug 8, 2021
2,201
3,008
Juzi(Jumapili) nilihisi maumivu kwenye korodani ya kushoto, nikayachukulia poa maana sometimes korodani zinaumaga na kuacha zenyewe.

Sasa toka Jana Hadi leo yaani korodani moja ya kushoto inauma saaana, ninavyo hisi scrotum ndo inaniuma zaidi, yaani utadhani umewekewa kaa la MotošŸ˜­.

Nimepata homa flani Jana Leo imetulia, nilipojaribu kupiga mechi(sex) mzigo umesimama fresh na nikapiga mechi, Ila ukigusa korodani ya kushoto inauma especially maeneo ya juu.

Korodani ya kushoto imevimba kidogo na kuwa ndefu kidogo kuliko ya kulia, ya kulia haiumi kabisa ipo fresh.

Nilikuwa village kwenye likizo, Kuna ka dispensary sijaenda nikasema niombe ushauri ili nkienda hospital niende hosipitali kubwa.

Wakuu huu ni ugonjwa gani maana toka juzi maumivu hayajakata,,
 
Juzi(jumapili) niliisi maumivu kwenye korodani ya kushoto, nkayachukulia poa maana sometimes korodani zinaumaga na kuacha zenyewe.

Sasa toka Jana Hadi leo yaani korodani moja ya kushoto inauma saaana, ninavyo hisi scrotum ndo inaniuma zaidi,,yaani utadhani umewekewa kaa la Moto..
Mkuu habari yako? Hiyo ni maradhi ya ngiri ya mshipa nione mimi ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Mkuu habari yako?Hiyo ni maradhi ya ngiri ya mshipa nione mimi ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
Je kiuno kuuma nayo ni ngiri mkuu maana n mwaka wa pili naumwa kiunoo ila naishi ivoivo na xray nimepiga hamna kitu naomba muongozo mkuu
 
Nashukuru sana kumbe inafanywa kwa njia ya mkojo tuu niliogopa nikajua wanafanya upasuaji
Ukipima Damu na Mkojo ndipo itakapo onyesha unayo maradhi gani yanayo kusumbuwa mwilini mwako. Huenda una upungufu wa Vitamin na madini mwilini mwako.

Damu na mkojo isipo onyesha maradhi utakuwa unayo maradhi ya elimu ya giza mambo ya kiuchawi utanitafuta kwa wakai wako ilinipate kukutibia maradhi yako.
 
Ukipima Damu na Mkojo ndipo itakapo onyesha unayo maradhi gani yanayo kusmbuwa mwilini mwako. huenda una upungufu wa Vitamin na madini mwilini mwako. Damu na mkojo isipo onyesha maradhi utakuwa unayo maradhi ya elimu ya giza mambo ya kiuchawi utanitafuta kwa wakai wako ilinipate kukutibia maradhi yako.
Sawa sawa mkuuu
 
Juzi(jumapili) niliisi maumivu kwenye korodani ya kushoto, nkayachukulia poa maana sometimes korodani zinaumaga na kuacha zenyewe.

Sasa toka Jana Hadi leo yaani korodani moja ya kushoto inauma saaana, ninavyo hisi scrotum ndo inaniuma zaidi,,yaani utadhani umewekewa kaa la Moto.

Nimepata homa flani Jana Leo imetulia, nilipojaribu kupga mechi(sex) mzigo umesimama fresh na nkapiga mechi, Ila ukigusa korodani ya kushoto inauma especially maeneo ya juu.

Korodani ya kushoto imevimba kidogo na kuwa ndefu kidogo kuliko ya kulia, ya kulia haiumi kabsa ipo fresh.

Nilikuwa village kwenye likizo,Kuna ka dispensary sijaenda nkasema niombe ushauri ili nkienda hospital niende hosipitali kubwa.

Wakuu huu ni ugonjwa gani maana toka juzi maumivu hayajakata,,
Maumivu yake hatar saana mkuu huo ugonjwa ulinisumbua acha tu
 
Back
Top Bottom