Kidevu Kucheza inaashiria Kitu gani

Movement za misuli tu haina maana yoyote kiroho Bali kimwili ndo hyo apo, kwa maelezo zaidi mwone daktari
 
watu washirikina loh kwahiyo hata msuli ukikukaba kuashiria upungufu wa glucose na yenyewe ni dalili ya kitu fulani loh
 
Anza kununua viwembe vya kutosha maana hutokua na ndevu kidevuni bali utakuja msituuuh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom