miss chuga
JF-Expert Member
- Dec 25, 2019
- 303
- 660
Habari? Naombeni msaada nmeshikwa na mafua makali sana Mimi ni mjamzito, kabla ya kuwa mjamzito nilikuwa nikipatwa na mafua natumia hii dawa inaitwa Loratadine ni nzuri sana coz nilikuwa napona ndani ya siku moja, sasa naomba kujua Kama haina madhara kwa ujauzito ili nitumie kutibu haya mafua