Naomba msaada wa kujua hospitali hapa Tanzania wanaojishungulisha na kutoa huduma ya kupima vinasaba.
Pia ningependa kujua haya yafuatayo,
- Utaratibu wa kufuata ili kufanya vipimo
- Gharama za kufanya vipimo
- Time frame ( muda gani kupata majibu) n.k
------ Michango ya wanaJF-------
Nimemkataa baba mzazi, na sitaki kupima DNA
Nakwenda kupima DNA niombeeni
Kipimo cha DNA...Ungekuwa Ungefanyaje?
Sasa kupima DNA muhimbili ni 100,000 tu
Hizi hapa taratibu za kupima DNA...
Pia ningependa kujua haya yafuatayo,
- Utaratibu wa kufuata ili kufanya vipimo
- Gharama za kufanya vipimo
- Time frame ( muda gani kupata majibu) n.k
------ Michango ya wanaJF-------
Hakuna hospitali ya private au government inayopima DNA hapa Tanzania.
Hiyo huduma inatolewa kwa mkemia mkuu wa Serikali pale karibu na hospitali ya Ocean road.
Kuna mambo mengi ya kimaadili (ethical issues) yanatakiwa kuzingatiwa kabla ya kipimo.
DNA unaweza kumpima mtu,ukapata siri ya ndugu mwingine ambaye hakutoa consent ya mambo yake kujulikana.
Mfano rahisi ni wamarekani walivyopima DNA ya dada yake Osama ikawasaidia kujua DNA ya Osama na baadae wakatumia watoto ku confirm alipo Osama.
Hii technology lazima ithibitiwe kwa sababu mfano unaweza kujua siri za ukoo wa mke wako au ndugu zako bila idhini yao mfano uwezekana mkubwa wa kupata magonjwa ya kurithi n.k.
Nimemkataa baba mzazi, na sitaki kupima DNA
Nakwenda kupima DNA niombeeni
Kipimo cha DNA...Ungekuwa Ungefanyaje?
Sasa kupima DNA muhimbili ni 100,000 tu
Hizi hapa taratibu za kupima DNA...