Hii hali ya kutokwa shahawa mwishoni napokojoa ni ugonjwa au?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,148
Habari,

Naomba msaada mimi nikikojoa mwishoni zinatoka shahawa na hapo uume unakuwa haujasimama na wala sina hisia za mapenzi kabisa kwa wakati huo.

Je, ni ugonjwa niwahi hospitali au lah maana inajirudia sana na hata muda mwingine nikikaa tu zinatoka zenyewe shahawa.

Nifanye Nini?
 
Habari naomba msaada mm nikikojoa mwishoni zinatoka shahawa na happy uume unakuwa haujasimama na Wala Sina hisia za mapenzi kabisa kwa wakati uho je NI ugonjwa niwahi hospital au lah maana inajiludia Sana na hata mda mwingine nikikaa tu zinatoka zenyewe shahawa nifanye Nini?
Una umri gani ?

Ukidanganya umri utakuwa unapotosha kujua tatizo
 
Shahawa au usaa?! Wewe una ugonjwa wa zinaa na hicho unachokiona si shahawa ni usaa bila maumivu.
 
Ndio hapo sasa. Maana naamini mleta mada iyo kitu umfika pale anapokua na wazo la ngono zaidi.
Huenda ni mtizamaji wa mikanda ya X kwa sana, sasa ndonga inakuwa inasimama kwa muda mrefu, hivyo vile vimaji maji vya uchupa vinatokeza chuma ikipoa moto vinabaki njiani akikojoa vinatoka, lakini hapo ilibidi kende ziuume, sasa kama anashindwa kutofautisha usaha na maji ya wazungu basi aende hospitali tu.
 
Tafuta mpapai dume (usio zaa matunda), chuma mizizi yake na kisha chemsha alafu uwe unakunywa kikombe kimoja asubuhi na kingine jioni kwa muda wa siku tano.
Utakuja kunishukuru baaadae
Dakitari😍
 
Kuna vitu ilibidi viwe na masikio na mdomo tukiviita viitike.

Natafuta line yangu hii wiki ya pili sasa
 
Tafuta mpapai dume (usio zaa matunda), chuma mizizi yake na kisha chemsha alafu uwe unakunywa kikombe kimoja asubuhi na kingine jioni kwa muda wa siku tano.
Utakuja kunishukuru baaadae
Hiyo dawa inatibu ugonjwa gani mkuu? Maana dogo anataka kujua kama ni ugonjwa au vp
 
Una uwezekano wa zaidi ya asilimia 90 kuwa umepata maambukizi ya Gonorrhea, nenda hospitali ukafanyiwe uchunguzi zaidi na kuanza matibabu sahihi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom