Ndugu yangu anakataa kuongezewa damu

Ndugu yangu anakataa kuongezewa damu

Udell

Member
Joined
Mar 29, 2022
Posts
21
Reaction score
15
Poleni na majukumu wataalam. Nina ndugu yangu kalazwa ila ana upungufu wa damu ila hataki kuongezewa damu naweza kumfungulia kesi na ikitokea doctor kamwongezea kwa lazima sheria itamlindaje doctor.
 
Kwenye haki za mgonjwa ni haki yake kukataa kuongezewa, na hiyo ni mojawapo ya dillema kwenye medical field.
Sema, kuna kitu kinaitwa "benefit outweigh the risk", kama damu hyo itaokoa maisha yake akiwa kwenye critical condition, kanuni inampa daktari mandate ya kumuongezea damu hata ka hataki because lengo kuu ni kuhakikisha mgonjwa hafi. Akitoka hapo hata akienda kufungua mashtaka sidhani kama atashinda.
Huyo mdugu yako akichungulia kifo, trust me ataomba awekewe hyo damu na nyingine anywe kabisa!
 
Back
Top Bottom