Ernst kipire
JF-Expert Member
- Dec 16, 2019
- 299
- 311
Habr gani Wana jamvi?
Natumai mu wazima wa afya........
Leo napenda kushire nanyi Jambo hili ambalo nahisi wengi Lita washangaza kidogo.
Nianze kwa kuwasumilia kidogo matukio kadhaa ambayo yametokea pale napo kuwa nimelala....
Kwanza,katka mwaka 2010 nilipo kuwa kidato Cha kwanz,ilikuwa usiku mmoja ambao kulitokea ajari ya Moto bwenini tukiwa tumelala,sas katika harakt za watu kujiokoa huwezi amini siku stuka usingizini na hata pale nilipo amshwa sikuweza kuamka,Wala kusikia au kuhisi chochote.
Njia pekee walioitumia nikunibeba na kunitoa nje mpk na baadae Sana ndio nikaamka.
Matukio mengine ame experience mchumba wangu na majirani pale wanapo jaribu kuniamsha hasa ifikapo usiku wa saa 7 Hadi sa 9,na kila ifikapo sa kumi alfajiri lazima niamke.
Sasa hili kwngu limekuwa Kam tatz Mana wengi wamekuwa wakiniraumu na kudai nawafanyia makusudi ya kwamba huwa nawasikia lkn nawakaushia lakinj ukweli huwa sisikii chochote.
Kwa wataalamu hili litakuwa tatizo gani ktk ubongo wangu?