Msaada: Mke wangu kapoteza ute ute baada ya kutibiwa UTI, anapata maumivu wakati wa tendo na tumbo kumsumbua chini ya kitovu

Feb 20, 2017
62
72
Ndugu zanguni samahanini humu najua kunamadokta na wataalam wa afya,naomba kueleweshwa,

Mke wangu anatokwa na maji maji ukeni mazito kama usaha meupe / rangi ya maziwa, akienda hospitali wanamwambia ni UTI anapewa dawa za uti ule ute ute unaacha kutoka lakin sasa wakati wa tendo uchi wake unakuwa mkavu hata umuandae vipi ute ute wa kuashiria yupo tayar hautoki na kama utatoka ni kidogo saaana.

kingine anapata maumivu wakati wa tendo na tumbo kumsumbua chini ya kitovu.

NB: UTI huwa tunatibiwa wote kwa ufasaha lakin tatzo semultaneously repeatin), naombeni kuelewesha kwa assumption hizo shida inaweza kuwa ni nn?,
 
mtafute uyo jamaa akusaidie shida yako
20220216_072626.jpg
 
Badili hospital uenda Ni Chlamydia, nenda hospital kubwa
 
Hii hali ni kwa mda gani sasa
 
Kama umetibiwa U.T.I Rudi kafanyiwe vipimo kama nikweli hauna Vimelea tena vyovyote...

Huenda umetibiwa ila tatizo bado lipo...inabid ufanyiwe culture then culture sensitivity ilikujua hasa hao wadudu watauliwa na dawa ipi

Second kama umecheki na majibu ya maabara yametoka U.T.I upofresh hauna

Basi nenda pharmacy tumia hizi dawa

Doxycycline (5days)
Secnidazole (single dose)
Fluconazole (14 days)......
 
Gombeyehealthcare.
Tunatoa huduma zifuatazo÷
1. Matatizo ya Mifupa.
2. Matatizo ya Mmengonyo wa Chakula
3. Matatizo ya Mfumo wa uzazi kwa jinsia zote.
4. Matatizo yanayo ambatana na mfumo wa damu.
NB.
Tatizo la Kukosa Ute Ute linatibika kwa asilimia 100%
Wasiliana nasi kupata matibabu.
+255 678 211 747
+255 733 482 038
Tunapatikana Dar es salaam ILALA.
 
Kama umetibiwa U.T.I Rudi kafanyiwe vipimo kama nikweli hauna Vimelea tena vyovyote...

Huenda umetibiwa ila tatizo bado lipo...inabid ufanyiwe culture then culture sensitivity ilikujua hasa hao wadudu watauliwa na dawa ipi

Second kama umecheki na majibu ya maabara yametoka U.T.I upofresh hauna

Basi nenda pharmacy tumia hizi dawa

Doxycycline (5days)
Secnidazole (single dose)
Fluconazole (14 days)......
Fluconazole IPI?
Kuna ya mg50,150 na 200!
Na anakunywaje, msaidie!

Yaani nilichogundua hii shida inajirudia jwa baadhi ya watu sbb watu hawapati dose sahihi!,na pia wengine hawamalizi
 
Mkuu kwanza nakupa pole kwa tatizo mnalopitia kama wanandoa.

Inawezekana mke wako haugui UTI bali anaugua "Vaginal Candidiasis" ni maambukizi/ugonjwa unaoletwa na kuzaliana kwa wingi(overgrowth) fangasi aina ya "Candida Albicans".

Candida ni fangasi ambao wapo kwenye miili yetu kama mdomoni,tumboni na kwenye uke ( microflora),hivyo basi hawa viumbe wadogowadogo tunaoishi nao kwenye miili yetu wanaweza kubadilika katika mazingira yao au kasi ya kuzaliana na kuleta madhara kwenye miili yetu. Kwa mfano bacteria aina ya "E.coli"wanapatikana kwenye tumbo letu ila wakitoka na kuingia kwenye njia ya mkojo (urethra) wanasababisha madhara ya Urinary Tract Infection(UTI).Kutokana na mada hapo Juu sitazungumzia hawa bacteria aina ya E.coli.

Candida Albicans wanapatikana kwenye mdomo,tumbo na Uke na hizo Sehemu hawana madhara isipokuwa mazingira ya Sehemu yao yakibadilika huanza kuzaliana kwa wingi na kuleta madhara ya maambukizi ya ugonjwa kama Candida yeast infection(uke) ,Oral thrush( mdomoni).

Kwenye uke kunatakiwa kuwe na Ph level ya tindikali kiasi ( 3.8~4.5), endapo ikatokea mabadiliko ya kiasi cha Ph kwenye uke kunafanya hawa fangasi aina ya Candida kuzaliana kwa wingi na kuanza kuleta madhara ya 'Yeast Infection' kama ijulikanavyo na wengi.Na mabadiliko ya Ph huletwa na mambo mengi mfano
matumizi ya sabuni za kemikali zenye level kubwa ya Ph (alkaline soaps), matumizi ya mara kwa mara ya madawa aina ya antibiotics and antifungal, SHAHAWA( alkaline) ndio shahawa zetu pia zinaweza kubadilisha hali ya Ph level kwenye uke.

Dalili za Vaginal Candidiasis ni kama
Kutokwa na ute mzito wenye rangi ya maziwa ( hii ni dalili kuu ya huu ugonjwa ndio maana hawa fangasi wakapewa jina la (Albicans) likimaanisha 'white'kwa lugha ya Kilatino.

Maumivu makali kwenye uke wakati wa kujamiana,Kuwashwa Sehemu za uke na mashavu ya uke kuvimba.

MATIBABU
Kwa sababu imekua ni sugu mke wako anatakiwa dozeji ya muda mrefu ya dawa zifuatazo kama ikiwezekana
1: Clotrimazole Pessaries Candida V1 (500mg)
2:pO Fluconazole 150mg ( 5~7days)
3: Candid B cream 30gm ,anapaka nje ya mashavu ya uke asipake ndani ya uke mara mbili kwa siku
4: Apendelee kunywa kwa wingi vitu vya vimiminika hadi atakapopona.(plenty of fluids)

Kwa upande wako utumie Candid B cream 15gm

NB: Inabidi mjizuie kujamiana kwa kipindi cha matibabu ili kuepuka kubadilishana hao fangasi.
 
Back
Top Bottom