jumasangoma
Member
- May 22, 2020
- 47
- 64
Habari za muda huu wakuu..
Bila kupoteza muda naomba twende kwenye mada, jina langu naitwa Juma Sangoma umri wangu miaka 30. Kuna tatizo moja linanisumbua sana, Kila nikishiriki mapenzi na mwenza wangu hua nawahi sana kutoa wazungu mzunguko wa kwanza na mbaya zaidi inachukua zaidi ya saa limoja uume kusimama tena kwa ajili ya mzunguka wa pili hali hii imenifanya mwenza wangu kua na malalamiko.
Hali imenitokea kwa zaidi ya wanawake watatu.
Humu nadhani kuna wataalumu mbali mbali naombeni msaada nifanyaje na ni nini hasa tatizo ili niweze kuwahi kusimamisha uume maana hua inanitesa sana kisaikolojia
Asanteni.