TATIZO LA KUHISI NJAA KWA MUDA BAADA YA KUMALIZA KURA NI NINI NNA UFUMBUZI
Hapo kwenye mawazo yapo ya kutosha nimejalibu kuuliza wengi wanazungumzia kua kutumia akili sana ndio sababuCheck these
1.una stress zozote?
2.Una jambo unalisubiria kwa hamu
3.Je unasoma neno la Mungu mara kwa mara? maana kama usipokuwa na uelewa wa jinsi Roho yako inavyoona kiu na njaa juu ya neno la Mungu, unaweza kuitafsiri kama njaa ya tumbo la chakula.
Kama unavyokula kila siku nafsi yako pia inahitaji, maana hupata njaa na kiu.