Tatizo la meno kutoboka

Tatizo la meno kutoboka

Emaster037

Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
24
Reaction score
6
Wanna Jukwa La Jamii Forums naombeni msaada sijui nifanye nini juu ya meno yangu kwasababu yanazidi kutoboa na kupuputika na kuisha kabisa linabaki pengo tuu mwenyewe sijui chochote juu ya kuzuia hali hii tafadhali naomba msaada Mp Mpaka saiv meno matatu tayari yameisha kabisa
PicsArt_08-29-08.03.20.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kwa dentists ukawekewe risasi. Risasi nzuri hudumu kwa miaka 20.

Safisha meno asubuhi na jioni
Fanya check up kila baada ya miezi sita.
Epuka vyakula na vinywaji vyenye sukari
 
Wanna Jukwa La Jamii Forums Naombeni Msaada Cjui Nifanye Nn Juu Ya Meno Yangu Kwasababu Wanazidi Kutoboa Na Kupuputika Na Kuisha Kabs Linabaki Pengo 2 Mwenyewe Kujua Chchte Juu ya Kuzuia Hali Hii Tafadhali Naomba Msaada Mpka Saiv Meno Matatu Tyr Yameisha Kabs View attachment 849888

Sent using Jamii Forums mobile app


Sasa hapo kuna cha kuuliza kweli, yaani muenekano wa meno yako tu yanaonyesha yameoza na inabidi yakudondoke. Ushauri, kama ni mpenzi wa kupiga deki kina Mama tafadhali wacha mara moja kwani nayo pia inachangia kutokwa na meno kwa kasi sana.
 
Sasa hapo kuna cha kuuliza kweli, yaani muenekano wa meno yako tu yanaonyesha yameoza na inabidi yakudondoke. Ushauri, kama ni mpenzi wa kupiga deki kina Mama tafadhali wacha mara moja kwani nayo pia inachangia kutokwa na meno kwa kasi sana.
Kaka nimeomba 2 ushauri ni Nifanye Kuepuka Titizo Hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama upo Dar naenda pale hospitali ya Amana kitengo cha Meno watakusaidia na gharama zao ni rahisi sana. Mwaka 2010 niliziba jino pale hadi leo halijawah kutoboka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tushaharibiana siku kamanda

Najuta mimi najuta sana kiherehere kimeniisha..🤣🤣
 
Wanna Jukwa La Jamii Forums naombeni msaada sijui nifanye nini juu ya meno yangu kwasababu yanazidi kutoboa na kupuputika na kuisha kabisa linabaki pengo tuu mwenyewe sijui chochote juu ya kuzuia hali hii tafadhali naomba msaada Mp Mpaka saiv meno matatu tayari yameisha kabisa View attachment 849888

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Sana
Meno yako ya naweza tibika
Lakini pia piga mswaki Mara2 Kwa siku usisahahu jioni
Kabla ya kulala
Pia meno yako yanahitaji scalling
Lazima utakuwa unatoa harufu mdomoni
##0762291006
 
Back
Top Bottom