Habari wadau wenzangu wa Jf.
Kuathirika sio mwisho wa maisha kwakuwa kuna watu wameathirika na wanafanya shughuli zao kwa Amani Kabisa.Wanafanya biashara wanafanya kazi serikalini. Wanasoma shule Vyuo vya kati hata vya juu.
Wengine wapo kwenye ndoa na wameathirika na hawashituki chochote. Nawasihi sana msiogope cha muhimu fanya yafuatayo.
- Kula chakula cha kawaida kama ugali ndizi viazi nyama kiasi mboga za Majani Kwa wingi Samaki kidogo. Chungwa kidogo parachichi na kila aina ya tunda.
Asubuhi unakunywa juisi ya kutengeneza isiyo baridi sana. Kula muhogo kidogo yai Moja Maziwa fresh kidogo tu sio mengi. Jioni kula chakula chochote kidogo sana usishibe sana. Mapenzi fanya Kwa kiasi sana usiuchoshe mwili.
Fanya mazoezi au penda kutembea kuushughulisha mwili. Penda pia kuendesha baiskeli. Mara Kwa Mara kula matunda kila wakati na kuku wa kuchoma mbavu pia sio mbaya.Kama mnywaji kunywa bia kiasi jichanganye na watu hasa wanaozungumza mambo ya kuchekesha na kufurahisha.
Kama una pesa fanya picnic katika mbuga zetu ubongo ufurahi.
Ukifanya hayo utaona siku zinaenda bila kuugua ugua hovyo huku ukizingatia dawa.
Asanteni kwa kupata muda wa kusoma jambo zuri kama kuna cha kuongeza chenye faida ongeza.