Zamani wakati ni mapyamapya kisukari na presha yalisemwa kuwa ni magonjwa ya matajiri. Je hilo limebadilika au kutokana na ukwasi wa watu binafsi kuongezeka. Na utajiri umekuwa kitu cha kawaida...
Chakula ni kirutubisho muhimu sana kwa wanadamu na maisha hayangewezekana bila lishe bora.
Hata hivyo licha ya umuhimu wa lishe kwa mwili wa mwanadamu, wataalamu mara nyingi huwa wanazingatia...
Kula mlo wenye afya na kufanya mazoezi ya kutosha kunasaidia kuweka mbegu za kiume katika hali nzuri. Kwa hiyo ikiwa mnajaribu kupata ujauzito, sasa ni wakati mzuri wa kufikiria kufanya mabadiliko...
Helo wanajamvi,
Msaada kidogo wa dharura. Wiki iliyopita nilijilia tunda kimasihara tu bila kutegemea kutoka kwa mwenzangu baada ya ukame mkubwa. Nilishiriki pekupeku(dah) nimejikuta na hali ya...
Siku za karibuni nilienda kununua hicho kipimo pharmacy nikapewa hayo maji badala ya buffer solution na nilipohoji kuhusu hilo, muuzaji aliniambia niondoe shaka hayo maji ni sawa na buffer...
Habari wapendwa kama mada hapo juu inavyosema nina shida ya kupata morning wood(kusimama) asubuhi au naweza simama kwa tabu sana.
Nakumbuka last year nilileta mada hapa kukosa hamu 6×6 km...
Hili tatizo nililonalo lilinitokea nikiwa na miaka 15 huko kijijini Singida niliteseka sana kwani wazazi hawakuwahi kunipeleka nikang'olewe maana yalikuwa kama magego 4 yote yametoboka hivo nikawa...
Habari za wakati huu wadau? Jamani naombeni msaada nimekuwa nikisumbuliwa na miguu sehemu za visigino hasahasa mguu wa kulia.
[emoji117]Inapofika asubuhi nikiamka siwezi kutembea nachechemea kwa...
Wakuu naomba kujua kwa ambaye ameshawahi fanya surgery ya hii kitu inanitesa muda mrefu na dawa nimeshatumia sana zinanipa unafuu tu.
Niliongea na doctor anasema surgery yake haina uhakika sana...
Mbegu za chia ni kati ya vyakula mashuhuri kwa afya bora, kwa sababu ya kusheheni virutubisho vya mwili.
Gram 100 zimesheheni:- Fibers: 39 gm, Protini: 16 gm, mafuta: 37 gm (18 gm ikiwa ni...
Mimi nina tatizo la tumbo kujaa nahisi digestion haifanyiki vizuri hivyo kuna uchafu umejaa kwenye utumbo mkubwa yaani nimepata kitambi cha madonda ya tumbo.
Mara ya kwanza kabla ya kupata ulcers...
Habari,
Upande wa kushoto juu ya kiuno umevimba na ni baada ya kupata ajali.
Hivo naombeni ushauri na hospitali ya kuhudhuria yenye kutumia bima mkoani mwanza.
FAHAMU SULUHISHO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Ukweli ni kwamba ndoa nyingi za Kikristo zinavunjika kutokana na tatizo hili. Je, hakuna haja ya kuitisha mjadala wa kitaifa? Taifa letu linaangamia...
Kulingana na hali hewa kuna hali fulani hivi kwa kila mtu kuwa na mafua sio mafua flue au kikohozi, hivyo kila mtu anakula/ kunywa dawa kulingana na uwezo wake.
Sasa kumekuwa na kila mtu...
Chapisho la Timu ya Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Maryland katika jarida la Neurology, limeonesha wenye Damu ya Kundi A wana uwezekano mkubwa wa kupata Kiharusi kabla ya umri wa miaka 60...