Blackninja
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 381
- 327
Wakuu naomba kujua kwa ambaye ameshawahi fanya surgery ya hii kitu inanitesa muda mrefu na dawa nimeshatumia sana zinanipa unafuu tu.
Niliongea na doctor anasema surgery yake haina uhakika sana. Sasa nimekuja kwa wadau kujua kama yupo ambaye alishawahi kufanyiwa anipe mrejesho.