inama Senior Member Joined Oct 9, 2021 Posts 181 Reaction score 357 Jan 19, 2023 #1 Habarini wajamvi, Naomba kufahamishwa madhara ya matumizi ya P2 endapo imetumika Mara mbili ndani ya wiki na suluhisho la hayo madhara asanteni
Habarini wajamvi, Naomba kufahamishwa madhara ya matumizi ya P2 endapo imetumika Mara mbili ndani ya wiki na suluhisho la hayo madhara asanteni
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Jan 19, 2023 #2 Mwenyezi Mungu aliweka hili tendo ili tuijaze dunia, ni kwanini mnaharibu mipango ya Mungu?
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,719 Reaction score 98,900 Jan 19, 2023 #3 inama said: Habarini wajamvi naomba kufahamishwa madhara ya matumizi ya P2 endapo imetumika Mara mbili ndani ya wiki na suluhisho la hayo madhara asanteni Click to expand... Kuna mtu namjua anatafuta mtoto hapati Kwa historia yake fupi ya miaka ya nyuma alikuwa mtumiaji mzuri wa p2
inama said: Habarini wajamvi naomba kufahamishwa madhara ya matumizi ya P2 endapo imetumika Mara mbili ndani ya wiki na suluhisho la hayo madhara asanteni Click to expand... Kuna mtu namjua anatafuta mtoto hapati Kwa historia yake fupi ya miaka ya nyuma alikuwa mtumiaji mzuri wa p2
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 12,251 Reaction score 27,844 Jan 19, 2023 #4 WANAWAKE MSITOE MIMBA. MSIUE WATOTO WASIO NA HATIA