Maji yanayotumika badala ya buffer solution katika kipimo cha HIV SD-bioline ni sahihi?

nacho1

Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
82
Reaction score
67
Siku za karibuni nilienda kununua hicho kipimo pharmacy nikapewa hayo maji badala ya buffer solution na nilipohoji kuhusu hilo, muuzaji aliniambia niondoe shaka hayo maji ni sawa na buffer solution.

Je, ni Kweli au alitaka hela yangu tu?
 
I presume walikupa water for injection, Hapanaa so sawa (in mkojani's voice) japokuwa inaweza kutoa reliable results, inatakiwa itumike in case hakuna
 
Siku za karibuni nilienda kununua hicho kipimo pharmacy nikapewa hayo maji badala ya buffer solution na nilipohoji kuhusu hilo, muuzaji aliniambia niondoe shaka hayo maji ni sawa na buffer solution.

Je, ni Kweli au alitaka hela yangu tu?
Eeeeeh? Kweli wajinga ndio waliwao
 
Siku za karibuni nilienda kununua hicho kipimo pharmacy nikapewa hayo maji badala ya buffer solution na nilipohoji kuhusu hilo, muuzaji aliniambia niondoe shaka hayo maji ni sawa na buffer solution.

Je, ni Kweli au alitaka hela yangu tu?
SD Bioline inauzwa famasi?
 
Back
Top Bottom