Habari.
Mke wangu alijifungua now ni siku ya nne ilikuwa njia ya kawaida,alichanika msamba na waliweza kumshona.
Sasa kinachoendelea hadi leo sehemu zake za siri inatoka harufu kali yenye...
7 Most Common Waterborne Diseases (and How to prevent them). Community Health Water-Borne Diseases
Each year, waterborne diseases afflict hundreds of millions of...
Wadau wa Afya Habari wakuu!
Ninahitaji Wapi Nitapata Daktari bingwa wa Watoto/Hospital ya watoto chini ya Miaka 5,
Nina Mtoto ana Tatizo la Kifua Muda mrefu ni kama inaelekea kuwa Pumu!
Hapa Dar...
Baada ya mgegeduano mkali uliochukua takribani masaa mawili uliosindikizwa na migugumio ya hapa na pale, hatimaye binti anatoka ghetoni kwa mkulungwa akiwa ameshikilia chupa ya maji ya kunywa...
1:
Za leo wandugu, naomba kuuliza na kutaka kujua.
Mimi niko kwenye ndoa ya kama miaka 2 sasa. Kwa kweli imekuwa na furaha zake pia ni vikwanzo vingi. Imefikia sasa mimi najishangaa sana kuwa...
Bandugu..kumekuwa na malalamiko mengi sana katika swala zima la mapenzi kwa siku hizi za karibuni na hii inasabanisha kuongezeka kwa waganga na matangazo mengi mara ya Kuongeza uume.Kutight...
FAIDA ZA PARACHICHI
(Faida 20 za Kula Parachichi)
Parachichi ni aina ya kipekee ya tunda. Matunda mengi kwa asili ni wanga lakini parachichi limejaa mafuta yenye manufaa makubwa kiafya.
Tafiti...
Nataka nifanyiwe vipimo vya kiwango Cha uwezo wa kusikia(Hearing capacity). Kutoka mkoa mmoja mpaka mwingine kwa hospital za serikali hasa ukiwa mtumishi wa umma Huwa Ina mlolongo mrefu sana...
Waziri wa Afya ametoa kauli hiyo baada ya Watumishi 2 wa Afya, Rose Shirima na James Getogo kutoka Zahanati ya Ishihimulwa, Tabora kuonekana wakijibizana kuhusu kutumia Vipimo vya #Malaria...
Hofu ya uwezekano wa ongezeko la maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kwa miaka ijayo inazidi kutanda mitaani kutokana na matumizi yasiyo sahihi ya vipimo vya haraka (HIV Rapid test) vya kubaini...
Sijui hata nifanyeje?
Nilipata tatizo la ganzi mwilini, nikatumia vodonge vya Pregabalin miezi minne. Sasa kila nikiongea na watu nawarushia mate Kama manyunyu yanapuliza.
Sasa watu hunikwepa...
Habari wana Jf
Jamani mimi ninasumbuliwa na tatizo la macho tangu nikiwa na miaka saba macho yananiwasha sana muda wote mchana na usiku pia ila usiku ndio sana na kadri ninavyokua ndo naona...
Wadau, hususan TFDA (The Tanzania foods and drugs authority), ni kwa muda mrefu nimekuwa na tashwishi ya kutaka kujua kuhusu madawa/virutubisho (fortifications) zinazotiwa na wasagaji katika unga...
Ktk hali ya kushangaza,mme wangu ana korodani tatu. Korodani moja ni ngumu sana. Nimemuuliza kuhusu hali hiyo amesema kuwa yeye mwenyewe anashangaa hali hiyo. Hata gvyo anadai kuna kipindi...
Habari wadau wa hili jukwaa?
Naomba niende kwenye mada hii.
Jamani Mimi kwa muda sasa naumwa ila nashindwa keelewa hasa ninancho umwa.
Kwanza tatizo lenyewe ni kama la vdonda vya tumbo lakini...
Hii ni hali ya utoaji wa hewa au gesi uliyojikusanya ndani ya Uke.
Tofauti na kujamba kwa kawaida ambako hutokea kwenye tundu la haja kubwa, uke huwa hautoi gesi chafu ambazo hutoa harufu kali...
Zamani wakati ni mapyamapya kisukari na presha yalisemwa kuwa ni magonjwa ya matajiri. Je hilo limebadilika au kutokana na ukwasi wa watu binafsi kuongezeka. Na utajiri umekuwa kitu cha kawaida...
Chakula ni kirutubisho muhimu sana kwa wanadamu na maisha hayangewezekana bila lishe bora.
Hata hivyo licha ya umuhimu wa lishe kwa mwili wa mwanadamu, wataalamu mara nyingi huwa wanazingatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.