Hivi ni kweli pombe kali ni dawa ya kikohozi?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,590
Reaction score
29,493
Kulingana na hali hewa kuna hali fulani hivi kwa kila mtu kuwa na mafua sio mafua flue au kikohozi, hivyo kila mtu anakula/ kunywa dawa kulingana na uwezo wake.

Sasa kumekuwa na kila mtu kujifanya anajua dawa wengi wanasema konyagi au value na smat gin inasaidia au kumaliza kabisa ukinywa kidogo, je kuna ukweli wowote?
 
Smart Gin,konyagi, K-vant hayo ni maji ya kunywa tu...!!!

Hii ndio inamaliza kabisa kila kitu kwanzia mafua,homa,malaria, Covid 19 hadi Uhai inamaliza ukitaka...

Si nyingine ni Absinthe calavera.
Alcohol percentage 89.9% volume..[emoji88][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji88][emoji88][emoji88][emoji88][emoji483][emoji483][emoji483][emoji484][emoji484]
FB_IMG_1673098609032.jpg
 
Vitamic C ni Sawa ya mafua na kikohozi. Kula matunda mengi hasa machungwa, kiwi, nanasi nk.
 
hata kwenye dawa za kifua za maji zina pombe.
Hapa wavaa kobazi wataogopa kwenda hospitalini.
 
Smart Gin,konyagi, K-vant hayo ni maji ya kunywa tu...!!!

Hii ndio inamaliza kabisa kila kitu kwanzia mafua,homa,malaria, Covid 19 hadi Uhai inamaliza ukitaka...

Si nyingine ni Absinthe calavera.
Alcohol percentage 89.9% volume..[emoji88][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji88][emoji88][emoji88][emoji88][emoji483][emoji483][emoji483][emoji484][emoji484]View attachment 2486713

Duu hiyo si ni sumu sasa?
 
Hii ukimeza unaskia arufu ya maini rosti kutoka tumbon kwko
 
Smart Gin,konyagi, K-vant hayo ni maji ya kunywa tu...!!!

Hii ndio inamaliza kabisa kila kitu kwanzia mafua,homa,malaria, Covid 19 hadi Uhai inamaliza ukitaka...

Si nyingine ni Absinthe calavera.
Alcohol percentage 89.9% volume..[emoji88][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji88][emoji88][emoji88][emoji88][emoji483][emoji483][emoji483][emoji484][emoji484]View attachment 2486713
Mamamamae.... We jamaa utakuja kuua wasamaria wema
 
Vitamic C ni Sawa ya mafua na kikohozi. Kula matunda mengi hasa machungwa, kiwi, nanasi nk.
Nimekumisi mke wa ujana wamgu...

Heri ya mwaka mpya

Twende tukabariki ndoa yetu, shetani adedi na michepuko izikwe
 
Hizo konyagi na hayo matakataka ya value, Sijui absinthe yote Ni chai TU kwa huyu mnyama hapa chini KALISKI SPIRYTUS [emoji4][emoji116]
IMG_20220322_024118.jpg
 
Kulingana na hali hewa kuna hali fulani hivi kwa kila mtu kuwa na mafua sio mafua flue au kikohozi, hivyo kila mtu anakula/ kunywa dawa kulingana na uwezo wake.

Sasa kumekuwa na kila mtu kujifanya anajua dawa wengi wanasema konyagi au value na smat gin inasaidia au kumaliza kabisa ukinywa kidogo, je kuna ukweli wowote?
Wewe mkuu kama una kiu ya kunywa na nyumbani umepigwa biti kanywe tu,hiyo mambo ya kusingizia eti pombe ni dawa haipo kabisa...
 
Smart Gin,konyagi, K-vant hayo ni maji ya kunywa tu...!!!

Hii ndio inamaliza kabisa kila kitu kwanzia mafua,homa,malaria, Covid 19 hadi Uhai inamaliza ukitaka...

Si nyingine ni Absinthe calavera.
Alcohol percentage 89.9% volume..[emoji88][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji88][emoji88][emoji88][emoji88][emoji483][emoji483][emoji483][emoji484][emoji484]View attachment 2486713
inauzwa sh ngp nikanunue
 
Ndio hasa ile grant. Kama koo linakereketa ukinywa ile vizibo hata viwili, ile hali inisha.
 
Back
Top Bottom