Huduma ya kuziba meno nipaitapa wapi kwa hapa Arusha?

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,746
Hili tatizo nililonalo lilinitokea nikiwa na miaka 15 huko kijijini Singida niliteseka sana kwani wazazi hawakuwahi kunipeleka nikang'olewe maana yalikuwa kama magego 4 yote yametoboka hivo nikawa natafunia tu hapa meno ya mbele.

2017 katika harakati za maisha nikaibukia Kigoma nakumbuka mwezi wa tano hali ikawa mbaya sana maana nikila wali unaingia na kuniumiza, ndipo nilipoamua kwendo Maweni hospital kwenda kuziba waliniziba meno 5 namshukuru Mungu toka siku hiyo nilianza kutafunia sehemu zote mbili mpaka sasa ila kuna mawili nahisi hayakuzibwa vizuri japo hayaumi ila nataka nikayazibe tena nipo hapa Arusha anayejua wapi naweza pata hii huduma kwa ubora kabisa.
 
Hili tatizo nililonalo lilinitokea nikiwa na miaka 15 huko kijijini singida niliteseka sana kwani wazazi hawakuwahi kunipeleka nikangolewe maana yalikuwa kama magego 4 yote yametoboka hivo nikawa natafunia tu hapa meno ya mbele,
2017 katika harakati za maisha nikaibukia kigoma nakumbuka mwezi wa tano hali ikawa mbaya sana maana nikila wali unaingia na kuniumiza, ndipo nilipoamua kwendo maweni hospital kwenda kuziba waliniziba meno 5 namshukuru mungu toka siku hiyo nilianza kutafunia sehemu zote mbili mpaka sasa ila kuna mawili nahisi hayakuzibwa vizuri japo hayaumi ila nataka nikayazibe tena nipo hapa arusha anayejua wapi naweza pata hii huduma kwa ubora kabisa
AICC HOSPITAL
 
Pole sana mkuu matatizo ya meno ni changamoto ila mimi toka nikue sijawahi ng'oa meno nashukuru Mungu kwa hilo
 
  • Thanks
Reactions: LA7
Hili tatizo nililonalo lilinitokea nikiwa na miaka 15 huko kijijini Singida niliteseka sana kwani wazazi hawakuwahi kunipeleka nikang'olewe maana yalikuwa kama magego 4 yote yametoboka hivo nikawa natafunia tu hapa meno ya mbele.

2017 katika harakati za maisha nikaibukia Kigoma nakumbuka mwezi wa tano hali ikawa mbaya sana maana nikila wali unaingia na kuniumiza, ndipo nilipoamua kwendo Maweni hospital kwenda kuziba waliniziba meno 5 namshukuru Mungu toka siku hiyo nilianza kutafunia sehemu zote mbili mpaka sasa ila kuna mawili nahisi hayakuzibwa vizuri japo hayaumi ila nataka nikayazibe tena nipo hapa Arusha anayejua wapi naweza pata hii huduma kwa ubora kabisa.
Wamasai wauza dawa watakusaidia
 
Back
Top Bottom