PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
Habari za wakati huu wadau? Jamani naombeni msaada nimekuwa nikisumbuliwa na miguu sehemu za visigino hasahasa mguu wa kulia.
Inapofika asubuhi nikiamka siwezi kutembea nachechemea kwa dakika kadhaa ndio nakuwa angalau.
Nikikaa kwenye kiti hasa kiti kirefu ambacho nimeninginiza miguu nikishuka nianze kutembea nitachechemea kwa dakika kadhaa.
Nikivaa viatu vya kudumbukiza napata tabu sana maumivu miguuni yaani nachechemea mguu unavuta kuanzia kisigino hadi gumba.
Kingine, nina sugu mguu wa kulia maumivu ninayopata hapo jamani yaani pasiguswe na chochote ni panauma balaa, nikivaa viatu ndio balaa.
MWENYE KUJUA SULUHU YA TATIZO HILI NAOMBA MSAADA ( Dawa ipi nitumie)
Asanteni muwe na wakati mzuri
View attachment 2489735