Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Mie Jidduz, mutu ya watu yamenikuta. Toka majuzi nimepata mafua ya kutisha. Pua zinawasha na kamasi inatoka utafikiri bomba linavuja. Macho yanauma, ni mekundu na mchozi ni muda wote. Juzi na...
0 Reactions
3 Replies
671 Views
Habar wakuu nauliza kiwango Cha mapigo ya moyo ukipima presha kiwango Cha mapigo ya moyo kinatakiwa kianzie ngapi
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kuna ndugu yangu haponi mafua kabisaaa pamoja na kutumia dawa tofauti. Wataalamu wa humu tunaomba maelekezo yenu yatakayomsaidia. Asanteni.
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Sijui kama nina tatizo la moyo au vipi? Nina pata maumivu makali katikati ya kifua au kwenye kifua upande wa kushota pale ninapo lalia kifua au kulalia mgongo kwa masaa mengi zaidi. Au...
0 Reactions
5 Replies
835 Views
Asalam ndugu wanajamii. Hapa ni kijijini, tuongee kama wanakijiji kahawani tusije Angamia. Wakati wa hizi taarifa mbali mbali za kubanwa vifua kwa maradhi ambayo taarifa rasmi ya serikali...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Wana Jf Kuna tukio ambao lina ni athiri nashindwa kulisahau yeyote anaeweza nifanyia cancelling nitashukuru mno tukio la ajari lilolopelekea kifo cha mtu muhimu kwangu
1 Reactions
6 Replies
610 Views
Kuna hili tatizo linalopata wanawake wakati wa kujifungua hasa wale waliopata Uzazi pingamizi na kuwafanya washindwe kuzuia haja (kubwa na ndogo). Tatizo hilo linatibika na Kupona kabisa na...
0 Reactions
1 Replies
595 Views
Unjiti ni hali ya Mtoto kuzaliwa kabla ya Wiki ya 37 ya Ujauzito kutokana na Sababu Mbalimbali ikiwemo Mjamzito kupata Uchungu wa Mapema. Watoto hawa huzaliwa na Changamoto nyingi zinazohitaji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekutana na hili tangazo kwa dokta fulani. Naitaji kujua hii tohara ina utofauti gani na nyingine wakuu .tunataka kumtahiri dogo.
6 Reactions
79 Replies
5K Views
Hello guys hopefully your fine,,, Naombeni mnisaidie nasumbuliwa na Tatizo la kifuaa kuuma hasa kati kati ( Sternum) maumivu nayapata wakati nikifanya any Chest movement au wakati wa kujigeuza...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
wadau nini husababisha kichwa kuuma upande mmoja....nini tiba yake? naomba anaejua tafadhali
1 Reactions
15 Replies
27K Views
Hiki kitu nimekikumbuka leo, kwa wahenga, Nakumbuka zamani miaka ya 1990 kurudi nyuma na kuendelea kulikuwa na hii Hospitali ya dini ya kanisa katoliki pale Iringa mjini, kitongoji cha kihesa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu poleni majukumu. Wakuu naombeni msaada kwenye jambo hili kwa wataalumu wa magonjwa hususani kwa watoto. Naombeni kufahamu kwamba Je NIMONIA ina tiba? Kama tiba ipo je mtoto wa mwaka...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Nimekuwa nikisumbuliwa na ugonjwa ambao unanichanganya sana na nimedumu nao kwa miaka 12 sasa. Mwili kuwaka moto na maumivu kwenye kifua. Mara nyingi huanza maumivu makali kwenye kifua, si kubana...
0 Reactions
36 Replies
22K Views
Nina matatizo ya kifua kuwaka moto na mgongo kuwaka moto na kichwa kushika ganzi kwa ndani kama kinachoma choma kimekamatana nakion kidogo ila kifua tangu mwezi wa saba kinawaka moto nimetumia...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Nitakuwa na tatizo gan kifua kuwaka moto na mgongo hasa wakati wa usiku. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
22K Views
Wanabodi, heshima mbele.. Nina binti yangu mdogo wa miezi mitatu sasa. Tatizo lake kubwa ni kucheua /kutema maziwa kupitiliza. Yani akinyonya tuu, ndani ya dakika chini ya tano anakuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Moshi. Kama unadhani tatizo la ugumba ni la wanawake zaidi unajidanganya, kwani kliniki iliyoanzishwa na Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC, sasa inapokea wagonjwa kati ya 25 hadi 30...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…