Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Je ni kweli bangi,sigara hazina faida hata kidogo kwa mvutaji au kuna jambo linafichwa na kwanini dunia nzima watu hutumia ingawaje inapigwa vita?
0 Reactions
3 Replies
136 Views
Kuna kamtindo cha baadhi ya watu kubeza wenzao kuhusu ugonjwa fulani ambao umemkuba au unamsumbua kwa sababu tu ya mambo ya ku view majambo ya dunia au ushabiki fulani, ikitoka kutofautiana huko...
2 Reactions
3 Replies
130 Views
Ilianza na kasehemu kadogo kuwasha then kuanza vipele vidogo, now vimekua kama kidonda ingawa ni kasehem kadogo ka uume, haviumi sana. Kuna dokta jiran nilimuonyesha nikamwambia last j'mosi...
2 Reactions
235 Replies
105K Views
Dah! Wakuu niombeeni,nguvu zinaniishia,nahara kweli,nimenunua oral,glucose,Quenin,paracetamol najisikilizia.
6 Reactions
31 Replies
338 Views
Anonymous (0c95)
Mimi nina 24yrs nasumbuliwa na tumbo kujaa gesi, kujamba hovyo kila dakika hewa inatoka chafu sehemu ya haja kubwa, choo kigumu na hili tatizo limeanza tangu Mwaka 2022 mpaka leo 2026. Nishatumia...
0 Reactions
11 Replies
573 Views
Pia soma: ~ Mtumishi anayetuhumia kulazimisha Wafiwa kununua majeneza kwake Hospitali ya Sekou Toure asimamishwa kazi ~ Uongozi wa SEKOU TOURE Hospital uchunguze, kuna Mtumishi analazimisha...
1 Reactions
9 Replies
219 Views
Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume. Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa...
34 Reactions
261 Replies
26K Views
Mwaka 2016 nilipost thread ndefuu kuhusu madhara ya punyeto, na si Kama wengine wanavyoposti tu Bali Mimi no shuhuda rasmi wa tukio lenyewe. Kwanza sipendi kulizungumzia hili wala kuposti kwenye...
11 Reactions
153 Replies
33K Views
Ufafanuzi tafadhari, mama mkwe amekatwa ziwa kutokana ugonjwa huu hatari zaidi. Je huenda watoto wake nao wakawa na vimelea vya ugonjwa huu nianze tiba mapema?
5 Reactions
15 Replies
223 Views
Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa wito kwa Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Sekou Toure kufanua uchunguzi juu ya tuhuma za Mtumishi wa Mochwari hospitalini hapo kudaiwa...
0 Reactions
3 Replies
155 Views
Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure umepokea taarifa ya Mtumishi kitengo cha Mochwari anaeuza majeneza na kulazimisha wafiwa kununua kwake na tayari umeshachukua hatua za...
0 Reactions
2 Replies
194 Views
Anonymous (0c95)
Mimi ni mwananchi wa Singida, kero yangu ni jengo la ghorofa sita kwaajili ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, lilianza kujengwa tangu nipo Sekondari Miaka ya 2010's lakini mpaka leo ujenzi...
2 Reactions
9 Replies
417 Views
Anonymous (4445)
Habari Wakuu, nina tatizo la Vichomi upande wa Kushoto, nikikaa kwa mda mrefu sana, kichomi kinauma, nikilala au kupumzika vinaacha kuuma. Nilienda kupima nikaambiwa sina titizo, Sijui shida ni...
1 Reactions
1 Replies
195 Views
Tumeenda hospitali ya wilaya wakasema ana UTI na MINYOO, ametumia dozi zote lakini akawa bado anahisi uchovu. Nikamrudisha tena wakasema ni normal hana tatizo, ila uchovu tu ndoi shida. Mimba...
6 Reactions
19 Replies
283 Views
Nimeona ni vyema tukakumbushana juu ya janga hili licha ya kuwa mdomoni na masikioni pa wengi lishazoeleka. Nb UKIMWI HAUNA KINGA UKIMWI UNAUA madhara ni makubwa kuliko tunavyodhania, 1. Tumia...
14 Reactions
45 Replies
612 Views
naomba mawazo yenu wakuu, mwenzenu kila ninapo kuwa namtupia madin(sound/tongoza) girl uume wangu huwa unasimama, imekaa vp nna tatizo au ndo vp! psychologist nifungukieni .....natanguliza shukran.
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Anonymous (d932)
Mimi ni Mwananchi kutoka Katavi Wilaya ya Mlele naomba Serikali iongeze Watumishi Idara ya Afya Kitengo cha Mionzi, kwani kuna Mtumishi mmoja tu naye anapitia changamoto za ajali ya mguu, hivyo...
0 Reactions
1 Replies
176 Views
Right now, somewhere in Africa, a person is slowly winding a living worm — three feet long — around a small stick. It is emerging from a wound in their leg, centimeter by centimeter. And it has...
3 Reactions
4 Replies
244 Views
Anonymous (8f25)
Napenda kupata uelewa zaidi kutoka kwa Wananchi na wadau husika wa sekta hii... Kwanini kipindi hiki idadi kubwa ya wamama wanajifungua kwa kisu (oparesheni) yaani katika Asilimia 100, kati yao...
7 Reactions
25 Replies
573 Views
Wanajamvi. Ninaishi kisiwa cha Mafia, mojawapo ya sehemu dagaa uono almaarufu dagaa wa nyama wanakopatikana kwa wingi. Katika usindikaji wa dagaa ili kuongeza muda wa kuhifadhi (shelf life)...
3 Reactions
22 Replies
645 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…