Nawasalimu nyote kwa nguvu za huyo atiaye uhai.
Kwa mtanzania wa kawaida asiye na bima ndan ya dar wapi pa uhakika kupima vipimo tajwa hapo juu kwa wakat mmoja?
Bajet yake ni sh ngap?
Mwenye mzaha...
Lishe bora kwa mama anayenyonyesha ni muhimu ili:
Kuwa na afya bora kwani humpatia virutubishi vya kutosha kutokana na ongezeko la mahitaji ya virutubishi wakati wa unyonyeshaji
Kuhuwezesha mwili...
Niende kwenye hoja.
Sijui ni ugonjwa gani huu, mapele na yakipasuka yanageuka madonda. Watoto wanawashwa na akijikuna anazidisha maambukizi na madonda huwa makubwa na kwa dalili ilivo inaonekana...
Habari zenu wana jamvi!! Moja kwa moja kama mada inavyojieleza, kuna mtoto wa miaka miwili hivi sasa ila bado chakula kwake ni kama anapigana vita hadi akabwe na mama yake ndo anyweshwe uji ila...
Habari za majukumu wana Jf.
Moja kwa moja niende kwenye dhumuni.
Rafiki yangu amepatwa na hali ambayo kwangu Mimi ni ya kushangaza lakini pia inaogofya kidogo. Amekuwa akitokwa na aina fulani ya...
Habarini wapendwa Doctors na wakemia,
Napenda kujua je inawezekana kumfanyia DNA mtoto ambae babaake ameshafariki ili kujua ni kweli aliekufa ni baba halisi pindi mtoto anapoletwa na mama ambae...
Ndugu zangu mimi na sumbuliwa na matatizo ya tumbo langu alihumi apana
Bali kuna kipindi na sikia maumivu kama nachanwa na kitu tumboni
Napia na jamba saana na migurumo tumboni na nina sikia miguu...
Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu.
1. Hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo.
2. Huongeza ukakamavu wa mifupa.
3. Hupunguza msongo wa...
Wadau me kijana miaka 32 maana toka nibalehe sijawahi kushiriki mahusiano ila umri huu nimeamua kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ili nioe.
Tatizo linalonisumbua uume kusimama legelege...
Habarini ndugu na poleni na majukumu, mimi ni kijana umri ni miaka 26 Nina mke na Mtoto mmoja ila pia Kwa sasa mke wang ni mjamzito, nilikuwa nahitaji msaada juu ya tatizo hili Kwa siku za hivi...
Hamjambo!?
Kuna kipindi kama miaka 2 nyuma nilikuwa nafatilia mijadala ya Dawa za vidonda vya tumbo.
Sikumbuki vizuri ila nishaona zaidi ya mara tatu kuna watu wanashauri dawa flani hivi ni za...
Naomba ushauri
Kuna mdogo wangu alivunjika mguu tangu 2011 amewekwa chuma na sasa hivi yupo vizuri anatembea hata saa 2 na hasikii maumivu. Yeye anataka kutoa, nikiomba ushauri watu wananiambia...
Habari wana JF wenzangu, samahani naomba mnisaidie naweza kumpa maziwa ya ng'ombe mtoto mdogo wa miezi miwili?
Na kama naweza kumpa naomba mnisaidie nayachanganya vipi ili nimpe natanguliza...
Sijui ili tatizo gani
Kila nikinwa maji mengi
Kikawaida ni lazima mbumbujiko wa maji unatoa sauti tumboni kila ukitembea au kukimbia
Kwangu naona ni tofauti kidogo
Kila nikinwa maji mengi na...
Habari wakuu natumaini wote wazima wa afya.
Kuna siku ilitokea kwa ndugu yangu mmoja hivi umri 29 years mapigo yake ya moyo yalikua yanadunda haraka sana, hali hiyo ilipelekea kwenda hospitali...
Naomba kufahamishwa, hospital Bora kwa matibabu ya mtu alievunjika Mfupa.
Nina kijana wangu amevunjika mkono naitaji kwa anae fahamu hospital ilio nzuri na inakiwango Bora Cha matibabu.
MARAFIK ZANGU HAMJAMBO?
Haya Tena kwa wale wanaotaka Asali safi ya nyuki isiyo chakachuliwa Lita moja ni shilingi 15.000 wawasiliane kwa namba ya simu hii hapa 0754445733
Asali ina faida kubwa...
Tokea binadamu watokee kwenye uso wa Dunia miaka 300,000 iliyopita. tumeevolve bila kuwa na viatu miguuni. Hivyo miwili yetu haijaadapt kutembea ikiwa imebanwa miguuni.
Viatu vimegunduliwa chini...
Mwagona
Miaka Kama kadhaa nyuma nilipitia wakatii mgumu Sana kimaisha kiasi kwamba nikaanza tabia ya kujitenga na watu wa rika yangu.
Hali hiyo iliendelea kukomaa taratibu imefika kipindi...
Ndugu zanguni ni mara ya pili naingia kwenye huu uzi walau nione kama naweza pata tiba ambayo inaweza kunisaidia. Ni mara ya pili napatwa na ugonjwa huu mara ya kwanza docta hakunielezea ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.