Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Ni utando mweupe unaotengenezwa kwenye ngozi ya mtoto kwenye kipindi cha mwisho cha ujauzito, kitaalam huitwa Vernix caseosa. Huundwa na maji kwa asilimia 80, mafuta kwa asilimia 10 na protini...
7 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari wakuu naomba mwenye kujua anisaidie kuwa ni wapi naweza kupata covid 19 certificate? Sababu nataka kwenda nje ya nchi nahofia kupata usumbufu boader
1 Reactions
1 Replies
506 Views
Habari ! Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo! Nimejarib kujifanyia monitoring pale inapotokea nimekunywa chai nikitest mkojo wangu kwa kulamba naisikia kabisa sukari kwenye mkojo au...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kama kichwa cha Uzi kilivyo hapo juu, Ni vyakula gani mwanaume na mwanamke wanapaswa kula ili tu kuwe na urahisi wa utungishwaji mimba baada ya Tendo?
2 Reactions
13 Replies
2K Views
"Epuka Imani Potofu, Epuka Imani Potofu" Usimkatae mwanao pindi atakapo zaliwa na white stuff, Wengi wanafikiria kwamba hutokana na kamwagiwa ndani katika kipindi cha Ujauzito, Nikutoe hofu...
1 Reactions
2 Replies
702 Views
Mafuta mazuri ya kupikia yenye kukulinda na magonjwa ya moyo, hayana cholestrol ndani yake yenye jina la kibiashara “Vegetable oil” kitalamu huitwa “Seed oils” au Polyunsaturated Fatty Acid oils...
3 Reactions
11 Replies
4K Views
Samahani wadau nahitaji msaada nashida ya kuwa na uume mdogo na kuwai kumwaga na kila aina ya matatizo kutokana na kujuchua toka mwaka 2011 mpaka sasa nmeanza program ya NOFAP nko siku ya 10...
6 Reactions
42 Replies
7K Views
Ndugu wana JF mada tajwa hapo juu inahusika, mtoto wangu ana zaidi ya mwaka sasa lakini hawezi kutambaa wala kutembea mwenyewe, alipotimiza mwaka mmoja kamili nilimpeleka hospitali ya rufaa...
2 Reactions
60 Replies
15K Views
Habari zenu, huenda ikawa hili jambo nalipitia mimi peke yangu au hata labda kwa wengine lakini wameshindwa kuliexpose public. Kuna aina fulani ya hali ambayo vinyama ktk sehemu za mwili (sehemu...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Wanajamii Forum habari Mguu wangu umeteguka naombeni ushauri nitumie dawa gani kama huduma ya kwanza, manaake nahisi maumivu makali sana nashindwa hata kukanyaga chini. Msaada wenu ndgu zangu
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndugu zangu msaada anayejua magonjwa ambayo kipimo Cha OGD kinaweza saidia kuyagundua, Na je OGD Inaweza onyesha hiatal hernia?
1 Reactions
1 Replies
904 Views
Ndugu zangu ndani ya JF habari zenu. Mimi nina matatizo ya vipele mwisho wa nywele za kichwani upande wa kisogoni ambavyo vinatokana na kunyoa. Nimepata ushauri kwa madaktari mbalimbali juu ya...
2 Reactions
329 Replies
149K Views
Wakati wanawake walio wengi wanaamini kukandwa maji ya moto baada ya kujifungua ni tiba, wataalamu wa afya ya uzazi wanaonya kuwa kufanya hivyo kuna madhara zaidi ikilinganishwa na faida ambazo...
8 Reactions
71 Replies
14K Views
Msaada hapo jamani, huyu kimelea staph Aureus hatibiki.
0 Reactions
54 Replies
3K Views
Wataalamu wanasema kuwa wanawake wenye umri kati ya miaka 25 na 50 ndio huathirika zaidi na saratani ya matiti, na kiwango cha vifo ni kikubwa kutokana na kutobainika mapema dalili za saratani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
E bwana kwema wakuu? Nna week ya pili inaenda hii nimepata fangasi /weupe kwenye ulimi sasa nilienda pharmacy nikaambiwa nI fangas ila hakuna maumivu yyte wakuu nkapewa dawa ya Miconazole...
7 Reactions
151 Replies
8K Views
Kwa mwenye ufahamu kuna hali imenikuta baada ya kutumia dawa za maumivu za dawa tatu. Nikipapasa kichwani nahisi ngozi ina manundu manundu na hali kama ya kufa gazi hivi licha ya kwamba sihisi...
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Mwezi wa Uhamasishaji kuhusu Saratani ya Matiti Duniani hutumika kuongeza uelewa kuhusu Saratani ya Matiti, Kuhamasisha Uchunguzi wa Mapema, Kutoa Msaada kwa wale wanaoathiriwa na Ugonjwa huo, na...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Ni sayansi ambayo ina tibu uti wa mgongo kwaku-focus kwenye ufanyaji sahihi wa kazi wa uti wa mgongo wenywe, nyonga, mpangilio wa pingili za uti wa mgongo (Alignment) na athari zake kwenye...
1 Reactions
2 Replies
662 Views
Habari wanajamvi jamani hivi inawezekana mama mjamzito wa miezi minne kutokwa na damu? Na kama ndio inatokana na nini? Msaada please ========= Similar Cases Mjamzito anatokwa na damu. Rangi ni...
0 Reactions
63 Replies
165K Views
Back
Top Bottom