Tatizo la kukosa hamu ya kufanya mapenzi

Habarin ndgu na poleni na majukumu Mim ni kijana umri ni miaka 26 Nina mke na Mtoto moja ila pia Kwa sasa mke wang ni mjamzito nilikuwa nahitaji msaada juu ya tatizo hili Kwa siku za hivi karbun nimepoteza hamu kabsa ya kushirik tendo kitendo kichoniumiza Sana naombeni msaada wenu
Huna pesa tu Mzee ....

Stress za maisha zinakupeleka mbio ,unashindia mo energy na maandazi ya bakresa ,daily ugali dagaa ,madeni kama yote mb.oo itasimama kweli ...

Tafuta hela relax ,kunywa sup moja nzito tangawizi nying ,pilipili Kwa mbali,shushia maji baridii , ...

Nguvu za kiume unazo ila pesa ndio huna ...
 
Habarin ndgu na poleni na majukumu Mim ni kijana umri ni miaka 26 Nina mke na Mtoto moja ila pia Kwa sasa mke wang ni mjamzito nilikuwa nahitaji msaada juu ya tatizo hili Kwa siku za hivi karbun nimepoteza hamu kabsa ya kushirik tendo kitendo kichoniumiza Sana naombeni msaada wenu
Viungo mwili viko mapumzikoni.. Usijipe stress kula vizuri fanya mazoeezi pata muda wa kutosha wa kupumzika utarudi hewani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini kibaiolojia tu mwanamke mjamzito anaweza awe na profile ya hormone ambazo hasishawishi kukulana.

Maana ashapata Mimba tayari sasa anado ili iweje??

Rejea madume ya wanyama yanapataga mzuka yakisikia mwanamke ako tayari kupevusha yai na si vinginevyo.

So usijistress sana, fanya kadri ya hamu inavyodai.... labda kama mke anadai sana ndio utafute namna
 
πŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜πŸ˜„
 
Mkeo anakutaka umfanye mara kwa mara? Kama sivyo basi huna haja ya kujipa mawazo saaana kwakuwa hata ungekuwa na hiyo hamu ya ku-Do kila wakati halafu mkeo ndio huyo mjamzito akawa hapendelei ungetaabika uende kuchepuka huko.

BTW kula kwa wakati, ushughulishe mwili na jipe muda mzuri wa kupumzika mambo yatakaa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarin ndgu na poleni na majukumu Mim ni kijana umri ni miaka 26 Nina mke na Mtoto moja ila pia Kwa sasa mke wang ni mjamzito nilikuwa nahitaji msaada juu ya tatizo hili Kwa siku za hivi karbun nimepoteza hamu kabsa ya kushirik tendo kitendo kichoniumiza Sana naombeni msaada wenu
Tulizana mkeo ajifunguwe salama.
 
Habarini ndugu na poleni na majukumu, mimi ni kijana umri ni miaka 26 Nina mke na Mtoto mmoja ila pia Kwa sasa mke wang ni mjamzito, nilikuwa nahitaji msaada juu ya tatizo hili Kwa siku za hivi karibuni nimepoteza hamu kabisa ya kushiriki tendo kitendo kichoniumiza Sana, naombeni msaada wenu.
Punguza kutumia simu yako muda mrefu bila kupumzika hasa usiku.
 
nguvu za kiume wakati mwingine zinategemea na yule unayefanya naye.

kama mkeo hakupi ushirikiano mzuri, unaweza sema huna ilhali uko vizuri kabisa..

Kama vipi jaribu kuchepuka siku moja uone.

😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom