Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Ndugu wana jamii forum ni matumaini yangu kua mu bukheri wa afya. Sasa ndugu zangu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kukojoa mara kwa mara pasipo maumivu yoyote isipo kuna hali fulani hivi ya...
2 Reactions
6 Replies
933 Views
Moja ya kiashiria kikuu cha ubora wa Huduma za Afya ni kiwango cha wajawazito wanaojifungulia katika vituo vya kutolea huduma za Afya ambapo kwa Mwaka 2023 kimeongeka kwa 85% kutoka 81% Mwaka...
0 Reactions
0 Replies
426 Views
Naomba msaada tafadhali, SAUTI yangu imekwama zaidi ya mwezi sasa,mara ya kwanza nilikuwa nakohoa kidogodogo,lakini baadae sauti ikapotea kabisa,nikaenda hospitali wakanipa dawa za...
0 Reactions
5 Replies
17K Views
Wanajamvi habari, mi ni kijana miaka 30 naishi Dodoma na Mpenzi wangu anaishi Dar. Tuko na zaid ya mwaka sasa kwenye mahusiano. Mara nyingi huwa ye anakuja Dom na mara chache mi nashuka Dar...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari JF's, Kumekuwa na mfululizo wa matukio ya kuwashwa kwa baadhi ya watu, wengine wakiwa wanasikilizia tu muwasho kimya kimya, hadi pale utakapomuelezea hali yako ndo na yeye anasema ''Hata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii hali inaweza kusababishwa na nini hasa? wataalamu karibuni tusaidiane!
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kujivutavuta nywele kwa kawaida huanza tu kabla au baada ya kubalehe. Wakati wowote, karibu 1-2% ya watu duniani wana ugonjwa huo. Takriban 80-90% ya watu wazima walio na trichotillomania ni...
2 Reactions
2 Replies
632 Views
Habari za wakati huu wadau, poleni na majukumu ya kujenga taifa. Jicho langu moja la kulia ni jekundu sana na ni muda mrefu tangu mwaka 2019.chanzo ni kwamba niliingiliwa na mdudu ambapo...
0 Reactions
3 Replies
774 Views
Kati ya maambukizi yanayowasumbua wanawake wengi duniani ni maambukizi ya fangasi. Inakisiwa asilimia 75 ya wanawake wote duniani hupata maambukizi haya katika kipindi cha uhai wao. Maambukizi ya...
3 Reactions
4 Replies
13K Views
Kuna ndugu yangu alifanya maamuzi fulani yaliyopelekea kumletea matatizo na akapitia kipindi kigumu sana. hali iliyopelekea kuwa na mawazo kupita kiasi. Sasa akiwa katika kipindi hicho kuna siku...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Karibia kila mmoja wetu amewahi kuchoma chanjo ya kujikinga na ugonjwa fulani hasa alipokuwa mtoto. Chanjo za watoto kama chanjo ya kifua kikuu, polio, pepopunda na surua kwa kiasi fulani zimekuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huu ni ugonjwa unaotokana na mchafuko wa tumbo ambao unasababisha kuharisha kinyesi chenye damu au kamasi au vyote kwa pamoja. Ugonjwa huu usipotibika haraka unaweza kusababisha kifo kutokana na...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Wakuu naomba kama kuna mtu anauelewa kuhusu kitu kinaitwa Chango/Mchango kinachowapata watoto wadogo anieleweshe maana nimebaki njia panda! Shemeji/wifi...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
MTOTO WAKO ANAPATA UTI KILA MARA ?FUATA HAYA...... Ugonjwa wa mfumo wa mkojo kitaalamu urinary tract infection(UTI) umekuwa ukisumbua watu wengi. Vimelea vinavyosababisha ugonjwa katika mfumo wa...
2 Reactions
6 Replies
10K Views
Share IMAGE SOURCE,MENNA JONES Image caption, Mnyama wa mwituni ajulikanae kama Tasmanian devil Uchunguzi wa geni wa Tasmanian devils umebaini uwezo wa haraka wa kutibu maambukizi ya saratani ya...
0 Reactions
1 Replies
640 Views
CHANZO CHA PICHA,EPA Watafiti nchini Ufaransa wanasema kuna uhusiano kati ya vyakula vilivyosindikwa na maradhi ya saratani. Watafiti hao wameainisha vyakula ikiwemo keki,kuku na mikate kuwa...
2 Reactions
0 Replies
630 Views
Maelezo ya picha, Jitihada zinashinikizwa kung'amua mapema maradhi ya saratani na kuyashughulikia ipasavyo Kampeni kubwa imesambaa duniani wakati dunia leo inaadhimisha siku ya saratani duniani -...
1 Reactions
2 Replies
790 Views
Aspirini huenda inaweza kusaidia kupambana na saratani sugu ya matiti kwa kufanya uvimbe mgumu kutibika kuitikia tiba ya dawa za kupambana na saratani, madaktari wanasema. Kundi la wataalamu wa...
0 Reactions
2 Replies
748 Views
Maelezo ya picha, Laura Everley,ambaye alipatikana na saratani ya mfuko wa mayai ya uzazi(ovari) mwaka 2014, akiwa pamoja na mwanae wa kiume Harry Ni theluthi moja tu ya wanawake wanaomuona...
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…