Wakuu,
Huwa najiuliza sana ile harufu ya mtu aliyevimbiwa akibeuwa huwa ni mbaya sana! Ni harufu isiyoelewaka.
Si ya kitu kilichooza wala ya mdomo au kinyesi bali ni harufu mbaya sana. Unaweza...
Habarini wadau.
Kuna maambukizi ya ule ugonjwa wa macho mekundu almaarufu kama red eyes, ambao husababisha macho kuwasha, kuuma, kuwa mekundu sana, kuvimba na kutoa uchafu mwingi sana wa tongo...
Habari, kwa maumivu niliyonayo sijui hata kama naandika sahihi
Jana nlienda hospitali nikiwa na complication kadhaa, walinipima fbp,hpyrori, uti, maralia vyote nikawa neg ila najua nina historia...
Nasumbuliwa na jino linauma balaa sitaki kulin'goa maana mapengo niliyonayo yanatosha, alafu Kuna mtu kanitisha kaniambia ukienda kun'goa jino umri huu 30+ unaweza kupata shida kwenye macho.
Kama...
Kuna mtu anauliza, Kama alishiiriki sex mwezi December , na mtu kwakutumia condom ambayo ilikuwa expired mwezi huohuo yaan mwezi December
Je Kama huyo MTU Ana maambukizi anaweza kuambukizwa??
Habari za wakati huu wakuu, wakuu naombeni jibu hivi ukifanya mapenzi siku ya 11 kuna uwezekano wa kupata mimba??
Maana ni wiki mbili sasa toka nimefanya mapenzi lakini nina wasiwasi maana tumbo...
Niliwahi ambiwa na wataalamu wa hospital DOCTORS AND NURSES..Kuwa ukipima HIV/AIDS
kwa kutumia kipimo cha Bioline ukikosa maji yake..unaweza kutumia hata water for injection na majibu yakatoka...
Wataalamu naombeni kuuliza
Je madhara yapi ? anayopata mama mjamzito anapokutana kimwili na mtu ambae si mhusika wa huo ujauzito wake mtu huyu anapata madhara gani hasa wakati wa kujifungua...
Vidonda vya tumbo ni michubuko inayotokea kwenye kuta za mfumo wa chakula, hasa kwenye sehemu ya tumbo au pia sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo.
Ukubwa wa vidonda hivi hutofautiana, kuanzia...
Salaam,
Ninaomba kufahamu hili kutoka kwa wataalam wa afya waliomo humu ndani. Nina shemeji yangu mmoja hivi amekuwa na tatizo la kupata mtoto kwa miaka kadhaa sasa. Ana mtoto mmoja lakini...
Habar JF Doctor,
Nina mwanangu ana miezi sita, anatokwa na jasho ana kichwan akiwa amelala, amekaa au anakula. Je, hali hii inasababishwa na nini? Je, ina madhara gan kwenye afya yake?
Naomba...
Unasumbuliwa na homa kali na kukosa hamu ya kula siku ya 4 hii.
Jana nilipima nikaambiwa ni minyoo, kichocho na U.T.I.
Lakini nimetumia dawa homa na kukosa hamu ya kula vimegoma kabisaaa hata...
Naombeni kuelimishwa,mtoto wa chini ya mwezi mmoja kucheua maziwa na mengine kutokea puani inaweza kusababishwa na nini?Je ni hali ya kawaida au ni tatizo kubwa?
Sitaki kuwachosha niende kwenye lengo moja kwa moja,
Ni wiki ya pili sasa napatwa na joto ikiambatana na baridi kali kichwa kuuma viungo vya mwili kuuma mda mwingine kuchoka hamu ya kula sina...
Nina mtoto wa kiume umri miaka 2.5, huyu kijana wangu akiwa na hasira ana tabia ya kujibonda chini au sehemu yoyote kwa nguvu sana na pia anang'ata sana, kufinya, angali akiwa toka mdogo nikajua...
Wakuu poleni Sana Kwa usumbufu naweza sema JF nimekuwa mtu wa kulalamika Sana.Kwanza napenda kuwatakia wote ambao mna afya migogoro uponyaji Toka Kwa muumba na tulizo la Moyo kwenu.
Wakuu...