Nimekunywa brufen nina vidonda vya tumbo

Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
4,316
8,013
Habari, kwa maumivu niliyonayo sijui hata kama naandika sahihi
Jana nlienda hospitali nikiwa na complication kadhaa, walinipima fbp,hpyrori, uti, maralia vyote nikawa neg ila najua nina historia ya hpyrori hapo nyuma na ninatumia lasergel

Nlipewa brufen, dawa ya vidonda na cipro jana jion nlianza dose sikunywa brufen huwa sitilii maanan sana dawa za maumivu and huwa nakunywa ninapoona nimezidiwa sana ama nina jukumu lazima nilifanye na huku nipo kwenye dose.
Sasa nimeamka asubuhi nikafanya majukumu yangu ila mda wa saa6 nikanywa vidonge vyote kwa maramoja ikiwemo na brufen coz nlikuwa job.
Sasa saa11 nimeanza kuhisi maumivu makali ya tumbo ikabidi nikimbie hom haraka ninywe lacergel huwa inanipatia relief haraka.
Hii imedunda bado maumivu ni makali mno yanazunguka sasa kiunoni na mgongoni, pia nahisi kuchefchef, nimerudia tena kunywa lacergel ila sipati nafuu
 
Hizo zada kwa wenye vidonda hazifai
Ziliwah nipandisha gari harak kukimbia hospita
 
Mambo ya kawaida, jikaze, ila ukiona roho inataka kwenda na unaishi mwenyewe, sogea hospital au kwa mdau ukalale huko.
 
Kwenye dawa za maumivu kama una madonda ya tumbo meza panadol na tramadol tu.
Dawa kama ibuprofen, asprin ,diclofenac , indomethacin , meloxicam , muscle plus , dawa 3 n.k usimeze zinaongeza maumivu
 
ukiona roho inataka kwenda
.
20230928_200815.jpg
 
kama bado haujapona njoo inbox nikule dawa upone madonda ya tumbo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom