Mrejesho wa ndgu yangu aliugua ukichaa tangu tar 28/1/24

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,780
2,716
Habar wakuu naleta mrejesho wahali ya ndgu yangu wakike umri miaka45 Alie ugua ukichaa..baada yakumpeleke hospital wakampima ukimwi Hana,presha wanasema Hana

Changamoto alizokua nazo kabla yakuugua ukichaa ni ugumu wamaisha ktk kipindi hiki Cha miaka miwili,pia mwanae tegemez wakike kujifungua mtoto mwenye changamoto na kukimbiwa na mumewe... mam mtu Hana kazi mtoto Hana kazi mjukuu changomto zakiafya pesa hakuna

Je ukichaa unaweza tokea kwa changamoto hizo zamaisha ameopitia..Nini tiba yake ushauri wenu wadau
 
pia mwanae tegemez wakike kujifungua mtoto mwenye changamoto na kukimbiwa na mumewe
Kuna uzi ulishawahi kuletwa huku kwamba kuna mshikaji alimuacha mpenzi wake kisa amegundua kwao kwa binti kuna watoto wenye changamoto kumuelewa mshikaji inabidi ujielewe kwanza mwnyw kutofautisha ukweli na hisia 😎

Anyway, poleni sana
 
Kuna uzi ulishawahi kuletwa huku kwamba kuna mshikaji alimuacha mpenzi wake kisa amegundua kwao kwa binti kuna watoto wenye changamoto kumuelewa mshikaji inabidi ujielewe kwanza mwnyw kutofautisha ukweli na hisia

Anyway, poleni sana
Huyu ndgu yangu ukoo wetu hakujawahi tokea mtu mwenye ukichaa vizazi na vizazi
 
Hiyo ni mental breakdown iliyochangiwa na stress baada ya kushindwa kukabiliana na changamoto za maisha.Mpeleke hospitali kuna tiba za kukabiliana na hali hiyo.Sijui tafsiri yako ya "ukichaa"ni nini.
 
Back
Top Bottom