Mtoto anatokwa na jasho hata Kama ni nyakati za baridi

black jeus

Member
Oct 16, 2020
7
45
Habar JF Doctor,

Nina mwanangu ana miezi sita, anatokwa na jasho ana kichwan akiwa amelala, amekaa au anakula. Je, hali hii inasababishwa na nini? Je, ina madhara gan kwenye afya yake?

Naomba msaada ta tafadhali!
 

Okwanyo58

JF-Expert Member
May 3, 2020
1,583
2,000
Habar JF Doctor,Nina mwanangu ana miezi sita,anatokwa na jasho ana kichwan akiwa amelala,amekaa au anakula,je hali hii inasababishwa na Nini?je ina madhara gan kwenye afya yake ?naomba msaada ta tafadhali!
Nami nipo hapa maana pia wangu anafanya hivyo hivyo, ila wangu ana miezi miwili sijui shida nini?
 

Vangigula

JF-Expert Member
Aug 13, 2015
471
1,000
Wa kwangu anakaribia miaka 3 na amekuwa na hiyo hali tokea. Sijaona madhara yoyote so far, tunajitajidi tu kumpa maji mara kwa mara a- compensate anachopoteza. Nami pia nasubiri nisikie wataalam watasemaje
 

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
13,531
2,000
Ni kawaida kabisa yani hata usiwaze cha muhimu HANA HOMAA NA JOTO LA MWILI HALIJAPANDAA PIA HAKOOI hasa usikuu..!! So relax hata usiwazee.
 

Kertel

JF-Expert Member
May 11, 2012
4,260
2,000
Watoto wanakua na high metabolism so hiyo hutokea katika situation hiyo.
 

leop

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
449
500
Hadi wangu jmn ana six months Yan akilala ukimuinua kilipo kuwa kichwa pamelowa kabisa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom