Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Natumai nyote mko vyema. Moja kwa moja kwenye mada, nina mtoto wa kiume ambaye mwezi wa sita mwaka huu ametimiza miaka miwili. Stages nyingine zote kama kukaa, kutambaa, kutembea, kuanza kuota...
13 Reactions
99 Replies
7K Views
Habari waheshimiwa! Nina tatizo la kifua la muda mrefu saaana, nimekwenda hindu mandari lakin kila Dr. anasema lake, mara na dalili za pumu, huyu anasema na dalili za "Nimonia" sasa nataka...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Alianza kumfuatilia mrembo huyo miezi kwa miezi kadhaa bila mafanikio, mtoto kaumbika, rangi ya mtume. Binti huyo alimaliza chuo mwaka juzi na kaajiriwa dar kwenye kampuni moja kubwa tu. Alikua na...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Wapendwa naomba msaada nimeishiwa nguvu za kiume miezi miwili sasa hata nimekuwa kero kwa mwenza wangu. Uume umepungua hata ningebanwa mkojo haustuki unabaki umelegea. Maumivu ya kiuno ni makubwa...
11 Reactions
112 Replies
12K Views
Mnamo mwaka 2012 nilichomwa na kitu chenye ncha kali sehemu ya chini ya ukucha wa dole gumba mguu wa kushoto.kwa kweli sikuona ni kitu gani kwa kuwa eneo hili lilikuwa na maji kutokana na mvua...
0 Reactions
9 Replies
16K Views
Hello Wana JF, naomba kuuliza kwa nini hizi bei za mitishamba bei zake ni kuanzia 150,000 kuendelea ? Kule Facebook ukiingia huko utakuta kuna matangazo mengi sana kuhusu dawa za kienyeji na bei...
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Mara nyingi imezoeleka kuwa Vimelea vya Ukimwi 'VVU' vinaambukzwa kwa njia ya damu. Hivi kunyonyana mate na mtu ambae ni muathirika wa HIV/AIDS anaweza kukuambukiza virusi vya Ukimwi? Na kama ni...
1 Reactions
12 Replies
26K Views
habari wapendwa. naomba kuuliza swali moja kuhusu ukimwi 1: ku-share mate (kiss za wazungu "Denda" inaweza kusababisha kupata virusi vya ukimwi kama mmoja kati yao atakuwa na VIRUSI? kama ndiyo...
0 Reactions
8 Replies
34K Views
Hope mko poa wakuu. Nimekua nikijiuliza sana maswali haya na sijapaga majibu sahihi naombeni msaada wenu. 1 je kirusi cha HIV huishi muda gani bila kufa kikiwa nje ya binadam, mfano mtu mwenye...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wapendwa habari, Mimi ni mwanachama mwenzenu humu jf, Nina mtu mzima mmoja ndugu na mimi anasumbuliwa sana miaka miwili sasa na vidonda kiasi cha kufika shingoni,nafuu yake ni kula kwa wingi na...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Napenda kufaham je mtu kuwashwa sehemu ya haja kubwa ni ugonjwa Je inasababishwa na...
6 Reactions
33 Replies
67K Views
Habari zenu. Naombeni ushauri kwa ufupi. Nimejifungua mwaka huu ila nimepata presha baada ya kujifungua nikavimba na kuumwa kifua sasa. Hospitali moja wakasema nimepata tatizo la moyo wakanipa...
4 Reactions
64 Replies
5K Views
Wajumbe naomba ushauri wa tatizo la fangasi kwenye njia ya mkojo kwa mwanaume.zinanisumbua two years.nmetumia midawa mingi sana.shida iko kwenye uume ndani
3 Reactions
4 Replies
895 Views
Msaada jamani mwezi wa sita huu nimefanya matibabu ya kila aina, hospital paliponifilisi na mri scan, dawa za asili na kisuuna hadi maombi. Nakata tamaa sasa
23 Reactions
271 Replies
19K Views
Mbegu hizi za papai,unazianika juani then zikishakauka zichemshe kwanza kwa major then changanya na maziwa fresh zichemke pamoja kisha kunywa huo mchanganyiko kutwa Mara mbili.Hiyo ni kuongeza...
0 Reactions
20 Replies
50K Views
Hematidrosis ni hali inayojitikeza kwa nadra sana ambayo humfanya mtu atokwe na jasho la damu. Pia kitaalamu inafahamika kama hematohidrosis and hemidrosis. Ni hali ya nadra sana kiasi kwamba...
1 Reactions
2 Replies
738 Views
HabarI za Leo Ndugu zangu. Anayejua Dawa ya Maumivu ya Kiuno Na Mgongo. Nafahamu hili ni suala la Ku- Sex Lakini Bado Sijapata MCHUMBA. Nipo Busy sana na kazi Jumatatu Mpaka Jumamosi hivyo...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Vizuizi vingi vilivyosalia vinaonekana kuwa vya kisheria, kulingana na Vasily Lazarev wa Wakala wa Tiba na Biolojia ya Kimedikali ya Urusi. Watafiti wa matibabu wa Urusi wanaweza kuwa na uwezo wa...
4 Reactions
4 Replies
815 Views
Kwanza Niseme kabisa Mimi sio Daktari, lakini nimeongea na madaktari. Lengo la Uzi huu ni kujaribu kuzungumzia juu ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo ambao Kwa kizungu unaitwa ulcers, nimeamua hasa...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
__nilivaa singlendi nikawa nafanya kazi juani (maeneo hayo jua lilikua linapiga sana coz yalikua maeneo yawazi ) usiku wake mwili ukawa unawasha asubui yake naona mwili umejichora weusi (hio...
8 Reactions
89 Replies
3K Views
Back
Top Bottom