Hahaha kumpandisha nyuzi joto huyu binadamu.Duu! Pole mkuu, bila shaka yamekukuta.
Tena sanaa..! Wengi wameumia kwa njia ya denda
Thanks kakaUtapata endapo mna mchubuko au vidonda mdomoni. Virusi vya ukimwi vinaishi kwenye damu tu na damu yenyewe inatakiwa iwe na nyuzi joto kiasi flani ikipoa huwa virusi vinakufa.. Hivyo aina yoyote ambayo itawafanya mu intershare damu basi kuna possibility kubwa ya kupata maambukizi endapo mmoja wenu ana maambukizi