Nimekuwa nikipata tatizo la kupata kiungulia (heart burn) mara kwa mara na kwa kweli huniletea maumivu na usumbufu sana.Je nini chanzo chake na vipi jinsi ya kutibu au kuepuka? Naomba msaada wenu...
Stomach Cancer Prevention with Baby Broccoli
Eating two and a half ounces of baby broccoli per day for two months may protect against a common bacteria that can cause stomach cancer.
A...
Lack of sleep increases diabetes risk.
New medical research has suggested that sleeping fewer than six hours a night could increase the risk of developing Type 2 diabetes.
According to the...
Medically Proven: Gain 1-3 Inches Easily
Are you up to challenge? Ready to get huge and massive and become "the man"?
In order to help you become bigger, here's what you need to know...
Is Tanzania dumping ground for all sorts of medicines?
Makwaia wa KUHENGA, 2nd April 2009 @ 09:08
DAILY NEWS
According to press reports this week, the international police organisation...
Wamaasai mpo hapo?
Kenyans eat too much red meat
A Maasai elder enjoys a piece of meat
By GATONYE GATHURA and ISAIAH ESIPISU
Posted Tuesday, March 31 2009 at 20:27
Many Kenyans...
Ndugu zanguni tunaopenda kunywa "chai ya moto" hebu tusome hii mada hapa
Piping Hot Tea Can Give You Cancer: Study - Yahoo! News UK
Mbarikiwe wote
Mchungaji Ladslaus
Daktari kanipa alu antmaralia imeisha muda toka feb 2009,nilipomwuliza kasema haina shida mana haijaisha miez3 zaidi,ikisha ndo hatari...Nihakikishieni haraka jaman mana sijameza natafuta ushauri...
wadau ningependa mnijuze na ikiwezekana kupata tiba ya huyu mzazi wangu.
Ni kwamba, aliwahi kupata ajali miaka mingi iliyopita na kuumia mguu (hii sehemu ambayo unaweza kupigia mpira)...
Wadau nahitaji kujua. kondom ina mafuta yake lakini inafika wakati wa "tendo" hayo mafuta yanakauka kabisa na inakuwa hatarishi kwa pande zote. ukitumia petroleum jelly (mafuta ya mgando), kondom...
A psychologist is urging people to get off Facebook and other social networking sites, and get a life instead.
Dr Aric Sigman says the amount of time we spend with each other has slumped...
Wenyeji wenzangu, nilikuwa na maswali machache kuhusu magonjwa haya ya zinaa
1) Kuna tofauti gani kati ya gonorea, kaswende, na kisonono.
2) Kaswende na kisonono yanaitwaje kwa kiingereza...
Hivi karibuni kumekuwa na taarifa za kufutwa kwa matumizi ya dawa za kikohozi na mafua kwa watoto chini ya miaka 12 na mamlaka nchini Kenya. Hali hii imetokana na madhara yanayosababishwa na dawa...
Habari zenu ndugu zangu, kuna dada mmoja ana mtoto wa miezi sita na anamnyonyesha tatizo ni kwamba amekuwa anachelewa kuingia katika siku zake anaweza kufika hata siku 39 na siku ya 40 ndo...
You don't need to eat yogurt and live on a mountaintop, but you do need to floss
By Deborah Kotz
Posted February 20, 2009
The biggest factor that determines how well you age is not your...
Natanguliza salaam,
Is there anybody who can recommend medicine/herbs etc. That can help to regulate hormones of a woman undergoing menopause.
Many thanks
WanaJF,
Natafuta maziwa kwajili ya mtoto wangu, ana miezi mitatu na mama yake anaishiwa maziwa siku zinavyozidi.
Hapa bongo mnanishauri nitumie maziwa gani?
:confused:Last week kulikuwa na thread inayozungumizia matatizo ya hedhi kwa kina dada sasa swali langu linaweza pia likaendana na thread hiyo japo katika michango yote iliyotolewa sijaweza kupata...